TBL FAMILY DAY NA MNUSO WAO BABKUBWA
Wafanyakzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na familia zao wakiwa kwenye foleni ya kupata msosi wakati wa hafla ya Siku ya Familia ya TBL, kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, Hoteli ya Bahari Beach, Kunduchi, Dar es Salaam. Wakishindana katika mchezo wa kuvutana kamba. Badhi ya viongozi wa TBL wakistarehe huku wakibadishana mawazo. Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), David Magese (kulia), akimkabidhi mtoto Said Shaban zawadi baada ya kuwa mmoja wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog25 Jun
TBL family Day na mnuso wa Babkubwa
Wafanyakzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na familia zao wakiwa kwenye foleni ya kupata msosi wakati wa hafla ya Siku ya Familia ya TBL, kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, Hoteli ya Bahari Beach, Kunduchi, Dar es Salaam.
Wakishindana katika mchezo wa kuvutana kamba
Watoto wa familia ya TBL, WAKICHEZA KWENYE BWAWA.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na familia zao wakishindana kucheza mpira wa miguu ikiwa ni moja ya shamrashamra za hafla ya Siku ya Familia ya TBL, ...
10 years ago
VijimamboTBL FAMILY DAY ILIVYOFANA BAHARI BEACH DAR
Wafanyakazi wa TBL NA FAMILIA ZAO WAKICHEZA MUZIKI Wafanyakazi wa Kampuni ya...
9 years ago
VijimamboEWURA FAMILY DAY ILIVYOFANA DAR
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), Felix Ngamlagosi...
10 years ago
IPPmedia11 Aug
Airtel conducts family day at work
Airtel conducts family day at work
IPPmedia
Telecommunications Company, Airtel Tanzania has conducted a special programme in which children of their staff members visited Airtel headquarters to learn and spend a day with their parents at work. The event was attended by over 150 children between ...
10 years ago
VijimamboTAMCO FAMILY DAY- June 6, 2015
ASALAAM ALAYKUM WA RAHMATULLAH WA BARAKATUH
Uongozi wa Tanzanian Muslim Community in Washington Metropolitan (TAMCO) Unapenda Kuwatangazia na Kuwaalika WaTanzania Wote kwenye Shughuli ya TAMCO Family Day/Picnic Day.
Pia Tunapenda Kuwajulisha kutakuwa Fund Raising kwa Ajili ya Maandalizi ya Mfungo wa Ramadhan na Kuendeleza Shughuli Zetu Zingine za TAMCO.
Jumamosi ya Tarehe June 6, 2015 Kuanzia Saa Nane Mchana.
Address: Indian Spring Terrace Local Park9717 Lawndale Dr. Silver Spring MD 20901
Kwa...
10 years ago
MichuziMAOFISA WA TBL WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOWEZESHWA NA ACE AFRICA CHINI YA UFADHILI WAO
Mwanachama wa Tumaini Saccos ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa kikundi hicho akionesha baadhi ya shughuli anazozifanya mbazo amewezeshwa na ACE AFRICA chini ya ufadhili wa...
9 years ago
Dewji Blog16 Aug
CBA Bank Family Day yafana vilivyo
Wafanyakazi wakishiriki katika michezo ya viungo mapema wakati wa kuanza tamasha hilo la michezo na burudani kwa wanafamilia ya Benki ya CBA mjini Bagamoyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa CBA Tanzania Julius Mcharo akiongea na wafanyakazi wa benki hiyo katika tamasha la CBA Family Day iliyofanyika katika viwanja vya hoteli ya Ndoto Pole Pole,wilayani Bagamoyo mwishoni mwa wiki.
Wana CBA na familia zao katika mchezo wa kuvuta kamba.
Wafanyakazi wakifurahi na kuburdika na familia zao baada ya...
9 years ago
Michuzi30 Nov
Wafanyakazi Benki ya NMB washerehekea 'Family Day'
10 years ago
GPLAIRTEL FAMILY DAY 2014 YAFANA