TBL FAMILY DAY ILIVYOFANA BAHARI BEACH DAR
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakiandika majina ya watoto waliofika pamoja na wazazi wake kwa ajili ya kuwapatia zawadi wakati ya sherehe ya siku ya familia ya TBL iliyofanyika kwenye ufukwe wa bahari beach, dar es salaam juzi.
Ofisa Uhisano wa TBL, Dorris Malulu akiwa na mumewe wakipata mlo
Wakipata chakula wakati wa siku ya familia
Watoto wa wafanyakazi wa TBL wakiogelea wakati wa siku ya familia
Wafanyakazi wa TBL NA FAMILIA ZAO WAKICHEZA MUZIKI
Wafanyakazi wa Kampuni ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
EWURA FAMILY DAY ILIVYOFANA DAR




10 years ago
Dewji Blog19 Aug
EWURA Family Day ilivyofana jijini Dar

Watoto wa familia za wafanyakazi wa wakishindana kukimbiaMamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), wakati wa hafla ya wafanyakazi wa Ewura kufurahi pamoja na familia zao (Ewura Family Day) kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach, Dar es Salaam
Wafanyakazi wa Ewura wakiwa katika picha ya pamoja na familia zao.

Wakiwa katika mchezo wa Wavu.

Wakishindana kukimbia huku wakiwa kwenye magunia.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), Felix...
10 years ago
Michuzi03 Aug
NHC FAMILY DAY BONANZA LAFANA KUNDUCHI BEACH HOTEL, JIJINI DAR



11 years ago
Dewji Blog25 Jun
TBL family Day na mnuso wa Babkubwa
Wafanyakzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na familia zao wakiwa kwenye foleni ya kupata msosi wakati wa hafla ya Siku ya Familia ya TBL, kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, Hoteli ya Bahari Beach, Kunduchi, Dar es Salaam.
Wakishindana katika mchezo wa kuvutana kamba
Watoto wa familia ya TBL, WAKICHEZA KWENYE BWAWA.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na familia zao wakishindana kucheza mpira wa miguu ikiwa ni moja ya shamrashamra za hafla ya Siku ya Familia ya TBL, ...
11 years ago
MichuziTBL FAMILY DAY NA MNUSO WAO BABKUBWA
10 years ago
Dewji Blog03 Aug
Tamasha la NHC Family Day lafanyika Kunduchi Beach Hotel
Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Mawasiliano waNHC, Bi Suzan Omari akipata maelezo kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi wa shirika hilo waliokuwa wakisimamia michezo mbalimbali wakati wa tamasha la NHC Family Day lililofanyika kwenye hoteli ya Kunduchi Beach mwishoni mwa wiki likishirikisha wafanyakazi wa shirika hilo jijini Dar es salaam na familia zao na kufahamiana ikiwani pamoja na kubadilishana mawazo.
Wafanyakazi hao wakishindana katika mbio ufukweni.
Mmoja wa wafanyakazi wa NHC akiwa...
11 years ago
Michuzi29 Jul
10 years ago
Michuzi
newzz alert:mkutano wa ukawa na wanahabari hivi sasa bahari beach jijini Dar




11 years ago
GPLYALIYOJIRI BOXING DAY COCO BEACH, JIJINI DAR