Tangazo La Form 5 2014 BAHARI BEACH HIGH SCHOOL DAR ES SALAAM
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi10 Aug
WANAFUNZI WALIOSOMA ST JOSEPH CATHEDRAL HIGH SCHOOL WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM, KUZINDUA CHAMA SEPTEMBA 26/2015 KARIMJEE

10 years ago
VijimamboTBL FAMILY DAY ILIVYOFANA BAHARI BEACH DAR
11 years ago
GPL
KIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA
PICHANI JUU: Taswira mbalimbali zikionyesha Kivuko cha MV.Dar es Salaam kikiwa kimeshushwa majini jana tayari kwa kuanza safari ya kuja Tanzania kutokea nchini…
11 years ago
Michuzi.jpg)
BREAKING NYUZZZZZ....KIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA
Ile ahadi ya Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli ya kununua kivuko kipya kitakachotoa huduma ya usafiri kati ya Jiji la Dar es Salaam na mwambao wa Bahari ya Hindi hadi Bagamoyo imetimia. Taarifa za uhakikia tulizozipata hivi punde ni kuwa kivuko hicho (Mv Dar es Salaam) kilichokuwa kinajengwa huko Denmark leo kimeshuka majini na tayari kuanza safari ya kuja Dar es Salaam ambapo kinatarajiwa kufika/kutua Dar es Salaam kati ya wiki tatu mpaka nne zijazo. Kivuko cha MV Dar es Salaam kitakuwa...
10 years ago
Michuzi
newzz alert:mkutano wa ukawa na wanahabari hivi sasa bahari beach jijini Dar
Waandishi habari na baadhi ya viongozi wa vyama mbalimbali wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA wakimsubiri Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassaa kwa ajili ya kujiunga na UKAWA ,baada ya muda mfupi tutawaletea chama anchajiunga nacho.
Hivi ndivyo walivyo katika hoteli wakijiandaa na mapokezi ya Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa katika hoteli ya bahari beachi jijini Dar es Salaam

Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Bawacha,Halima Mdee akifakari kulia kwake ni Mzee Kimesera leo katika...




10 years ago
Michuzi
St. Joseph & Forodhani ALUMNI kufanyika Jumamosi hii Septemba 26, 2015 viwanja vya St Joseph Cathedral High School jijini Dar es salaam
Umoja wa wanafunzi waliosoma shule ya St Joseph convent school ya jijini Dar es salaam
iliyodumu kuanzia mwaka 1932 hadi 1969 . Na Forodhani Sekondari ilyokuwapo kati ya 1970 hadi 2008 ( ilipotaifishwa na serikali) na baada ya hapo St Joseph Cathedral High school 2009 (baada ya kurudishwa kwa kanisa Katoliki) hadi leo, tumeungana na kuitwa St. Joseph & Forodhani ALUMNI .
St Joseph &Forodhani ALUMNI imeandaa “reunion” mkutano wa pamoja siku ya Jumamosi tarehe 26 September kwa wanafunzi...

St Joseph &Forodhani ALUMNI imeandaa “reunion” mkutano wa pamoja siku ya Jumamosi tarehe 26 September kwa wanafunzi...
5 years ago
Michuzi
WAZIRI ZUNGU ASHIRIKI USAFI WA FUKWE ZA BAHARI JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu ameawagiza Wakurugenzi wa Manispaa za Ilala na Kinondoni kuhakikisha fukwe zote zilizopo katika Manispaa zao zinasafishwa na kufanyiwa usafi kila mara na kukusanya uchafu wote uliokusanywa katika maeneo ya fukwe. Ameyasema hayo wakati aliposhiriki usafi wa kusafisha fukwe za bahari eneo la Salander Bridge jijini Dar es Salaam.
Aliongeza kuwa anawashukuru sana kikundi cha utunzaji wa mazingira cha Save the Coast kwa...
Aliongeza kuwa anawashukuru sana kikundi cha utunzaji wa mazingira cha Save the Coast kwa...
11 years ago
Michuzi
GODOWN-BAHARI BEACH FOR SALE



Godown linauzwa bahari beach.Linauzwa kuna ofisi na nyumba ya kuishi two in one. mawasiliano barua pepe mwijo70jojo@yahoo.co.uk.Simu 0786666708.
11 years ago
MichuziNaibu Waziri wa Uchukuzi atemebelea chuo cha bahari dar es Salaam (DMI)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania