Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


newzz alert:mkutano wa ukawa na wanahabari hivi sasa bahari beach jijini Dar

Waandishi habari na baadhi ya viongozi wa vyama mbalimbali wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA wakimsubiri  Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassaa kwa ajili ya kujiunga na UKAWA ,baada ya muda mfupi tutawaletea  chama anchajiunga nacho.  Hivi ndivyo walivyo katika hoteli wakijiandaa na mapokezi ya Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa katika hoteli ya bahari beachi jijini Dar es Salaam
 Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Bawacha,Halima Mdee akifakari  kulia kwake ni Mzee Kimesera leo katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

BREAKING NEWSSS!!!! UONGOZI WA JUU WA NCCRA-MAGEUZI WAONGEA NA WANAHABARI SASA HIVI KATIKA HOTELI YA LAND MARK JIJINI DAR.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-MAGEUZI,Reticia Ghati Mosore akizungumza na vyomo mbalimbali vya habari katika Hoteli ya Land Mark jijini Dar es Salaam kuhusiana na ukiukwaji wa taratibu katika umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA)

 

10 years ago

Michuzi

NEWZZ ALERT;MTU MMOJA APOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI YA BASI LA JORDAN KUPINDUKA NZEGA,LIKITOKEA JIJINI MWANZA KWENDA ARUSHA.

 Pichani juu ni mmoja wa majeruhi akisaidiwa na msamaria mwema mara baada ya kupata ajali. 
 Mtu mmoja amefariki dunia huku wengine 25 wakijeruhiwa katika ajali ya basi la abiria la Jordan lenye usajili wa namba T 650 AQZ lililokuwa likitokea jijini Mwanza kwenda mkoani Arusha na kupinduka leo wilayani Nzega,Tabora.Mpaka sasa chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana. Baadhi ya Majeruhi mara baada ya ajali hiyo kutokea. Baadhi ya Abiria wakiwa nje ya basi la Jordan mara baada ya kupinduka...

 

10 years ago

Vijimambo

TBL FAMILY DAY ILIVYOFANA BAHARI BEACH DAR

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakiandika majina ya watoto waliofika pamoja na wazazi wake kwa ajili ya kuwapatia zawadi wakati ya sherehe ya siku ya familia ya TBL iliyofanyika kwenye ufukwe wa bahari beach, dar es salaam juzi. Ofisa Uhisano wa TBL, Dorris Malulu akiwa na mumewe wakipata mlo Wakipata chakula wakati wa siku ya familia Watoto wa wafanyakazi wa TBL wakiogelea wakati wa siku ya familia

 Wafanyakazi wa TBL NA FAMILIA ZAO WAKICHEZA MUZIKI Wafanyakazi wa Kampuni ya...

 

10 years ago

Michuzi

MTANANGE WA SIMBA NA JKT RUVU UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA

 Beki wa timu ya Simba,Hassan Isihaka (26) akiangalia namna ya kumzuia Mshambuliaji wa Timu ya JKT Ruvu,Jabir Aziz katika mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara,unaopigwa hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Simba inaomgoza kwa Bao 2-1. Nyanda wa Timu ya Simba,Ivo Mapunda akiwania mpira wa juu na Mshambuliaji wa timu ya JKT Ruvu,Samuel Kamuntu katika mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara,unaopigwa hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Simba inaomgoza kwa Bao 2-1.

 

11 years ago

Michuzi

MTANANGE KATI YA YANGA NA AL AHLY UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA

 Kikosi cha Yanga   Kikosi cha Al Ahly  Mshambuliaji wa timu ya Yanga,Mrisho Ngassa akiondoka na mpira huku Beki wa Timu ya Al Ahly ya Misri akitafuta namna ya kumzuia katika Mchezo unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam hivi sasa.Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika na hakuna timu iliyoona lango la mwenzake.  Kiungo mchezeshaji wa Yanga,Haroun Niyonzima akitafuta namna ya kuwatoka mabeki wa Timu ya Al Ahly ya Misri katika Mchezo unaoendelea hivi sasa...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA UKAWA JANGWANI JIJINI DAR

Wananchi walijitokeza katika mkutano wa Ukawa leo katika Viwanja vya Jangwani muda huu.Wananchi wakiendelea kuwasikiliza viongozi mbalimbali wa Ukawa hawapo pichani.

 

10 years ago

Michuzi

AJALI YA GARI ILIYOTOKEA HIVI SASA KWENYE KIPITA SHOTO CHA SAMORA NA AZIKIWE JIJINI DAR

Kondakta (ambaye jina lake halikufahamika - kulia) wa Basi  UDA  lenye namba za usajili T 558 CVP akizungumza na mmoja wa abiria na kumuomba asubiri ili awapandishe kwenye gari nyingine la kampuni hiyo, baada ya gari hilo kugonga gari ndogo lenye namba za usajili wa T 498 DCU katika kipita shoto cha Samora na Azikiwe, jijini Dar es salaam leo. Askari wa Usalama Barabarani wakiwa katika eneo la tukio Askari wa Usalama Barabarani katikati akiongea na Dereva wa UDA. Gari ndogo inavyoonekana...

 

10 years ago

Michuzi

Sherehe ya 52 ya kuwakubali na kuwasajiri mawakili wapya nchini,katika viwanja vya karimjee jijini Dar hivi sasa

 Sehemu ya Makakili wapya, wakiwa katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es salaam kunakofanyika Sherehe ya 52 ya kuwakubali na kuwasajiri, inayoongozwa na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh. Mohamed Othman Chande (hayupo pichani). Picha zaidi zitawajia baadae kidogo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani