AIRTEL KUSHIRIKI SHEREHE ZA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-gDJW1Ob3U2s/Vo00XC-Av6I/AAAAAAAIQ60/EgmIe0-neSQ/s72-c/895.jpg)
Meneja wa Kampuni ya Mitandao ya Mawasiliano ya Simu za Mkononi ya Airtel Tawi la Zanzibar bwana Muhidin Mikidadi wa kwanza kutoka kulia akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kuliani kwake Ofisini Vuga Mjini Zanzibar.Bwana Muhidini alifika Ofisini kwa Balozi Seif kukabidhi mchango wa Shilingi Milioni Moja kwa ajili ya kusaidia Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52.Wa kwanza kutoka kushoto ni Katibu wa Makamu wa Pili Nd. Abdullah Ali Abdullah...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
HYAC kushiriki riadha Mapinduzi Zanzibar
CHAMA cha Riadha Zanzibar (ZAAA), kimeialika Klabu ya Riadha ya Holili (HYAC), yenye maskani yake Rombo, mkoani Kilimanjaro, kushiriki michezo ya maadhimisho ya miaka 50 ya mapinduzi ya visiwa hivyo....
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-D1fZPzs2bzA/VLPiXu2VZCI/AAAAAAAG87Q/BQWK_8xDxUw/s72-c/MMGM0512.jpg)
SHEREHE ZA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-D1fZPzs2bzA/VLPiXu2VZCI/AAAAAAAG87Q/BQWK_8xDxUw/s1600/MMGM0512.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-nlfxFnj7zWo/VLPiYdyocCI/AAAAAAAG87Y/i-TjMi0OONo/s1600/MMGM0530.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-7MLkr3bExFY/VLPiZZ5xpSI/AAAAAAAG87k/Zfo7VaHFUcE/s1600/MMGM0551.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-qnHEGsiE_UI/VLPicB9CihI/AAAAAAAG878/wZRK-a-c-ME/s1600/MMGM0631.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BlSO3TVinjknPIKdQC*KVCSn*s0QM3nQbbHgxSytkaaK1v3BU67fkHH-2tqnIC5kEfC1-G36eC2kn1oyfFS2ptEX1LvMDjhd/ma1.jpg?width=650)
SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO
10 years ago
VijimamboJK KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 51 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR
10 years ago
Habarileo13 Apr
Dk Shein apongeza maandalizi sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar
MWENYEKITI wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein ameipongeza Halmashauri ya Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa kwa kusimamia vyema maandalizi na kufanikisha maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
11 years ago
Mwananchi12 Jan
Tunawatakia maadhimisho mema ya Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar
10 years ago
Dewji Blog12 Jan
Rais Kikwete katika sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh.Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad katikati ni Waziri Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar Mh. Shamsi Vuai Nahodha.(Picha na Freddy Maro wa Ikulu)
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh.Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu Mh Benjamin Mkapa wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika kwenye uwanja wa Amani, Katikati...
10 years ago
Dewji Blog12 Jan