Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tunawatakia maadhimisho mema ya Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar

Leo Januari 12, Wazanzibari wanaadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi. Mengi yametokea, mengi yametendeka, lakini kubwa zaidi ni kuwa Wazanzibari wamebaki Wazanzibari.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi atoa Taarifa rasmi ya Maadhimisho ya Sherehe za Mikaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Othman Khamis Ame Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Maadhimisho ya Sherehe za kutimia Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 yatafanyika kama kawaida na kupangwa kuanza rasmi kesho jumapili ya Tarehe 3 Januri 2016. Alisema Serikali imejipanga kikamilifu kuhakikisha kwamba katika muda wote wa maandamisho hayo kunakuwa na hali ya utulivu na usalama mkubwa katika maeneo yote ya Visiwa vya vya Unguja na...

 

9 years ago

BBCSwahili

CUF kususia maadhimisho ya mapinduzi Zanzibar

Chama cha CUF kimesema hakitashiriki maadhimisho ya Sherehe za Mapinduzi visiwani Zanzibar kutokana na utata kuhusu matokeo ya uchaguzi.

 

10 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO

Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akiwasili kwenye uwanja wa Aman tayari maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo Januari 12, 2015.Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akipokea salamu za kijeshi mara baada ya kuwasili kwenye uwanjwa wa Aman tayari maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo Januari 12, 2015.Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akikagua gwaride la...

 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL KUSHIRIKI SHEREHE ZA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Meneja wa Kampuni ya Mitandao ya Mawasiliano ya Simu za Mkononi ya Airtel Tawi la Zanzibar bwana Muhidin Mikidadi wa kwanza kutoka kulia akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi  kuliani kwake Ofisini Vuga Mjini Zanzibar.Bwana Muhidini alifika Ofisini kwa Balozi Seif kukabidhi mchango wa Shilingi Milioni Moja kwa ajili ya kusaidia Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52.Wa kwanza kutoka kushoto ni Katibu wa Makamu wa Pili Nd. Abdullah Ali Abdullah...

 

11 years ago

GPL

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la heshima wakati wa kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Uwanja wa Amani Abeid Karume leo Januari 12, 2014.
Vijana wakiachia njiwa kama alama ya amani wakati wa kilele cha…

 

10 years ago

Habarileo

Dk Shein apongeza maandalizi sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar, Dk Mohamed Ali Shein.MWENYEKITI wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein ameipongeza Halmashauri ya Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa kwa kusimamia vyema maandalizi na kufanikisha maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 

10 years ago

Vijimambo

JK KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 51 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, akisalimiana na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein, wakati wa sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar kwenye uwanja wa Aman, leo Jumatatu Januari 12, 2015JK na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis MwamunyangeJK, akisabahiananna Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, a.k.a "Mzee Rukhsa"JK akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete katika sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi Zanzibar

unnamed213

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh.Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad katikati ni Waziri Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar Mh. Shamsi Vuai Nahodha.(Picha na Freddy Maro wa Ikulu)

unnamed119

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh.Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu Mh Benjamin Mkapa wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya  Mapinduzi  Zanzibar zilizofanyika kwenye uwanja wa Amani, Katikati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani