CUF kususia maadhimisho ya mapinduzi Zanzibar
Chama cha CUF kimesema hakitashiriki maadhimisho ya Sherehe za Mapinduzi visiwani Zanzibar kutokana na utata kuhusu matokeo ya uchaguzi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ZuGI_DUyGPE/VYrqckc8PZI/AAAAAAAHjnA/k2QT5f1q1sM/s72-c/unnamed%2B%252830%2529.jpg)
CCM ZANZIBAR YALAANI CUF KUSUSIA VIKAO VYA BARAZA
Na Mwashungi Tahir na Rahma Khamis-Maelezo Zanzibar Chama cha Mapinduzi CCM kimelaani kitendo kilichofanywa na Wajumbe wa Baraza la wawakilishi kupitia chama cha Wananchi (CUF) kutoka ndani ya kikao halali cha Baraza la Wawakilishi wakati wa mjadala wa kupitisha Mswaada wa sheria wa matumizi ya fedha za serikali kwa mwaka 2015/2016 ukiwa bado unaendelea. Akizungumza na Waandishi wa habari Ofisini kwake Kisiwandui Naibu Katibu mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai amesema kitendo kilichofanywa...
11 years ago
Mwananchi12 Jan
Tunawatakia maadhimisho mema ya Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar
Leo Januari 12, Wazanzibari wanaadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi. Mengi yametokea, mengi yametendeka, lakini kubwa zaidi ni kuwa Wazanzibari wamebaki Wazanzibari.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-DWK8oofUH4U/VnkvSYwpxeI/AAAAAAAIN1Q/k1Kcv-Rsd08/s72-c/IMG_8985.jpg)
URUWA WAOMBA KUKUTANA NA VIONGOZI WA ZAC, CUF,CCM NA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.
![](http://1.bp.blogspot.com/-DWK8oofUH4U/VnkvSYwpxeI/AAAAAAAIN1Q/k1Kcv-Rsd08/s640/IMG_8985.jpg)
Katibu mkuu wa chama cha ADA-TADEA, John Shibuda akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na viongozi wa mashirkiano ya umoja wa vyama vya UDA, TADEA,UDP,UPDP,na SAU kwa kuwaomba viongozi wa ZEC,CUF,CCM na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ili waweze kukutana na kuzungumza pamoja kuhusiana na migoro wa kisiasa nchini humo, ameyasema leo jijini Dar es Salaam.
![](http://2.bp.blogspot.com/-nHNqjMbdGUw/VnkvR5LpSpI/AAAAAAAIN1M/Vf2q1ae2-I0/s640/IMG_8949.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-GSr1m9UE0NQ/Vofe7JpU1zI/AAAAAAAIP48/NLAvamBDJ_Y/s72-c/2fd89618-e94f-4510-b450-a421780766f9.jpg)
Balozi Seif Ali Iddi atoa Taarifa rasmi ya Maadhimisho ya Sherehe za Mikaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Othman Khamis Ame Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Maadhimisho ya Sherehe za kutimia Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 yatafanyika kama kawaida na kupangwa kuanza rasmi kesho jumapili ya Tarehe 3 Januri 2016. Alisema Serikali imejipanga kikamilifu kuhakikisha kwamba katika muda wote wa maandamisho hayo kunakuwa na hali ya utulivu na usalama mkubwa katika maeneo yote ya Visiwa vya vya Unguja na...
9 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MIUNDOMBINU NA MAWASILIANO SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR ISSA USI GAVU AFUNGUA MKUTANO WA MAADHIMISHO YA SIKU YA BAHARI DUNIANI UNAOFANYIKA KITAIFA MKOANI MTWARA LEO MCHANA
10 years ago
Vijimambo26 Jun
CCM wamkataa Maalim Seif barazani, Ni kulipiza CUF kususia Baraza.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/maalim-26June2015.jpg)
Mgogoro wa kisiasa Zanzibar umeingia katika hatua nyingine baada ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukataa hoja ya Spika wa baraza hilo ya kumwalika Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, kuhudhuria kuvunjwa kwa baraza hilo leo.
Hali hiyo inaashiria kuwa Serikali ya Umoja wa Kitaiaf (SUK) iliyoundwa na Chama cha Wananchi (CUF) na CCM baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010...
9 years ago
Mwananchi01 Jan
CUF: Hatutashiriki Sherehe za Mapinduzi
Chama cha Wananchi (CUF) kimesema hakitashiriki shughuli za maadhimisho ya Sherehe za Mapinduzi Zanzibar hadi uamuzi wa kura za wananchi utakapoheshimiwa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania