Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CUF: Hatutashiriki Sherehe za Mapinduzi

Chama cha Wananchi (CUF) kimesema hakitashiriki shughuli za maadhimisho ya Sherehe za Mapinduzi Zanzibar hadi uamuzi wa kura za wananchi utakapoheshimiwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

‘CUF hawaitaki Serikali ya Mapinduzi’

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira amesema viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) hawayatambui Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964. Pia, amesema baadhi ya wajumbe wake, wanapinga Siku ya Mapinduzi, kutambuliwa katika kalenda za kitaifa nchini kote.

 

10 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO

Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akiwasili kwenye uwanja wa Aman tayari maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo Januari 12, 2015.Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akipokea salamu za kijeshi mara baada ya kuwasili kwenye uwanjwa wa Aman tayari maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo Januari 12, 2015.Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akikagua gwaride la...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete ‘ateka’ sherehe za Mapinduzi

Rais Jakaya Kikwete akifurahi jambo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto) wakati wa sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar mjini Unguja jana.(Picha na Freddy Maro).RAIS Jakaya Kikwete ambaye ni mara yake ya mwisho kuhudhuria sherehe hizo, akiwa na wadhifa huo, aliteka umma uliokuwa uwanjani hapo, kutokana na kupokewa kwa shangwe na vigelegele alipowasili.

 

9 years ago

BBCSwahili

CUF kususia maadhimisho ya mapinduzi Zanzibar

Chama cha CUF kimesema hakitashiriki maadhimisho ya Sherehe za Mapinduzi visiwani Zanzibar kutokana na utata kuhusu matokeo ya uchaguzi.

 

11 years ago

GPL

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la heshima wakati wa kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Uwanja wa Amani Abeid Karume leo Januari 12, 2014.
Vijana wakiachia njiwa kama alama ya amani wakati wa kilele cha…

 

11 years ago

GPL

SHEREHE YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI NEW YORK‏

Sherehe za mapinduzi ya Zanzibar zilivyofana New York , Sherehe hizo zilipendezeshwa kwa show ya mavazi, chakula na music wa Asili ya mwambao kutoka kwa Dj Bilal. Balozi wa kudumu wa umoja wa mataifa New York Mh. Tuvako N. Manongi ndiyo alikuwa mgeni rasmi wa sherehe hizo. Na alitoa hotuba fupi juu ya history ya mapinduzi. Na mama Ashura Babu pia kama ilivyo kwa Mh. Balozi Manongi alipata fulsa ya kuelezea mapinduzi hayo ya...

 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL KUSHIRIKI SHEREHE ZA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Meneja wa Kampuni ya Mitandao ya Mawasiliano ya Simu za Mkononi ya Airtel Tawi la Zanzibar bwana Muhidin Mikidadi wa kwanza kutoka kulia akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi  kuliani kwake Ofisini Vuga Mjini Zanzibar.Bwana Muhidini alifika Ofisini kwa Balozi Seif kukabidhi mchango wa Shilingi Milioni Moja kwa ajili ya kusaidia Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52.Wa kwanza kutoka kushoto ni Katibu wa Makamu wa Pili Nd. Abdullah Ali Abdullah...

 

10 years ago

Vijimambo

JK KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 51 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, akisalimiana na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein, wakati wa sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar kwenye uwanja wa Aman, leo Jumatatu Januari 12, 2015JK na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis MwamunyangeJK, akisabahiananna Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, a.k.a "Mzee Rukhsa"JK akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya...

 

9 years ago

Habarileo

SMZ yasema sherehe za Mapinduzi zipo palepale

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imesema maadhimisho ya sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yapo kama kawaida.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani