Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘CUF hawaitaki Serikali ya Mapinduzi’

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira amesema viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) hawayatambui Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964. Pia, amesema baadhi ya wajumbe wake, wanapinga Siku ya Mapinduzi, kutambuliwa katika kalenda za kitaifa nchini kote.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

URUWA WAOMBA KUKUTANA NA VIONGOZI WA ZAC, CUF,CCM NA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.


Katibu mkuu wa chama cha ADA-TADEA, John Shibuda akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na viongozi wa mashirkiano ya umoja wa vyama vya UDA, TADEA,UDP,UPDP,na SAU kwa kuwaomba viongozi wa ZEC,CUF,CCM na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ili waweze kukutana na kuzungumza pamoja kuhusiana na migoro wa kisiasa nchini humo, ameyasema leo jijini Dar es Salaam.
Katibu mkuu wa chama cha ADA-TADEA, John Shibuda katikati akizungumza na waandishi a habari jijini Dar es Salaam leo, kutoka kushoto...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali ya Mapinduzi ZNZ yakanusha wawakilishi kuihusisha serikali ya oman na upotevu wa nyaraka za serikali

3

 

Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Zanzibar Mohamed Aboud Mohamed.

Na MAELEZO ZANZIBAR 

SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR IMEKANUSHA TAARIFA ZILIZOTOLEWA NA BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI KWAMBA WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI WALIIHUSISHA SERIKALI YA OMAN NA UPOTEVU WA NYARAKA ZA SERIKALI.

 HAYO YAMEELEZWA NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR MOHAMED ABOUD MOHAMED KATIKA TAARIFA YAKE ALIYOITOWA KWA VYOMBO VYA HABARI.

TAARIFA HIYO IMESEMA HAKUNA HATA MJUMBE...

 

9 years ago

Mwananchi

CUF: Hatutashiriki Sherehe za Mapinduzi

Chama cha Wananchi (CUF) kimesema hakitashiriki shughuli za maadhimisho ya Sherehe za Mapinduzi Zanzibar hadi uamuzi wa kura za wananchi utakapoheshimiwa.

 

9 years ago

BBCSwahili

CUF kususia maadhimisho ya mapinduzi Zanzibar

Chama cha CUF kimesema hakitashiriki maadhimisho ya Sherehe za Mapinduzi visiwani Zanzibar kutokana na utata kuhusu matokeo ya uchaguzi.

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR YAWAONYA WATENDAJI WA SERIKALI NA TAASISI ZAKE

Na Mwandishi wetu.Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeonya kwamba haitamvumilia mtendaji ye yote wa Serikali  au Taasisi zake za Umma atakayebainika anazorotesha ufanisi wa kazi pamoja na kuendeleza makundi katika sehemu za kazi.
Onyo hilo limetolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali wakati akizungumza na Wafanyakazi wa Idara ya upigaji chapa na Mpiga chapa Mkuu wa Serikali baada ya kuangalia utendaji kazi wa fanyakazi hao katika sehemu mbali mbali za Kiwandi hicho hapo...

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali kufanya mapinduzi ya viwanda

Serikali imeomba  ushirikiano baina yake na taasisi za fedha ili kuendeleza maeneo ya uwekezaji na kuleta mapinduzi ya viwanda nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali ya Mapinduzi yamng’ang’ania Raza

>Waziri wa Fedha wa Zanzibar, Omar Yussuf Mzee amesema kazi ya kupitia madeni ya kodi ya gawio la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) anayodaiwa Mfanyabiasha Mohamed Raza kwa muda wa miaka 16 itachukua miezi mitatu ili kubaini kiwango halisi anachodaiwa kupitia Kampuni ya Huduma katika Viwanja vya Ndege (ZAT).

 

11 years ago

Michuzi

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yawasaidia Wavuvi wa Kijiji cha Kivunge

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetoa shilingi Milioni Nne ikiwa ni nusu malipo ya gharama ya shilingi milioni Nane ilizoahidi kutoa kwa ununuzi wa Mashua kwa ajili ya kufidia chombo cha Wavuvi wa Kijiji cha Kivunge kilichochomwa moto mwezi Januri mwaka huu wa 2014 katika Kisiwa cha Tumbatu.
Ikasisitiza tena na kuonya kwamba hilo litakuwa ni tukio la mwisho kubebwa na Serikali la kulipa fidia kwa migogoro yoyote itakayosababishwa na wana jamii katika maeneo mbali mbali kutokana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani