Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIRTEL SMARTPHONE BAZAAR ILIVYOBAMBA MLIMANI CITY JIJINI DAR

Afisa uhusiano na matukio wa Airtel Dangio Kaniki, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Gulio la Airtel na Huawei Smartphone lililofanyika Mlimani City wikiendi hii. Gulio linalomuwezesha mteja kujishindia zawadi mbali mbali pale anaponunua simu ya Huawei.Gulio hili lilianza Ijumaa, Jumamosi na Jumapili na litakaloendelea wiki ijayo siku ya Ijumaa, Jumamosi na Jumapili pale Kibo Complex Tegeta.Baadhi ya Wateja waliofika katika Gulio la Airtel na Huawei Smartphone wakipewa maelezo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

AIRTEL NA HUAWEI YAANZISHA BAZAAR LA SIMU ZA SMARTPHONE.

Na Mwandishi wetu.

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania ikishiriakiana na Huawei leo imetangaza kuanza Bazaar lake maalum litakalowawezeha watanzaniakujipatia simu za kisasa za Smart phone na kuweza kufurahia huduma zazote za intaneti kupitia mtandao wa Airtel
Bazaar la Airtel na Huawei  limepangwa kufanyika kuanzia ijumaa,jumamosi na jumapili hii kuanzia saa 3asubuhu hadi saa moja usikukatika eneo la ndani la Mlimani City  na litakuwa na muendelezohapohapo na baadae litazunguka...

 

10 years ago

Michuzi

AIRTEL SMARTPHONE BAZAAR NDANI YA NANENANE MOROGORO


Baadhi ya wateja wakiwa ndani ya Airtel smartphone Bazaar ilikusmartiphonica na simu za kisasa kwa bei poa.
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imetangaza offa kabambe yasimu za kisasa itakayopatikana katika viwanja vya nane nane kuanziasiku ya Ijumaa tarehe 31 julai 2015, kwa muda wa siku 10Akiongea kuhusu ofa hiyo Meneja Masoko wa Airtel Bi Aneth Mugaamesema, Airtel inaendelea kuwapati wateja wake mawasiliano bora nakuwaunganisha na simu za kisasa zilizounganishwa na vifurushi vya...

 

10 years ago

Michuzi

AIRTEL INAKUKARIBISHA KWENYE SMARTPHONE BAZAAR WIKIENDI HII PALE KIBO COMPLEX TEGETA

Gulio la Airtel Smartphone lililofanyika wiki iliyopita pale Mlimani City wikiendi iliyopita .Baadhi ya Wateja waliofika katika Mlimani City kujipatia Ofa kabambe inayotolewa na Kampuni ya simu ya Airtel na Huawei katika banda la Mlimani City jijini Dar Es Salaam wiki iliyopita. Gulio linalomuwezesha mteja kujishindia zawadi mbali mbali pale anaponunua simu ya Huawei. Airtel Bazaar Gulio lililoanza wiki iliyopita pale Mlimani City siku ya Ijumaa, Jumamosi na Jumapili litaendelea tena wiki...

 

10 years ago

Michuzi

ONESHO LA S!TE KUFUNGULIWA KESHO JUMATANO MLIMANI CITY,JIJINI DAR

ONESHO la kimataifa la utalii ‘Swahili International Tourism Expo’ (SITE) linaloandaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) linafunguliwa rasmi leo (kesho Jumatano) katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City na litamalizika Jumamosi.
Tayari maandalizi yote kuelekea ufunguzi wa onesho hilo yamekamilika na kwamba watanzania wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuja kujionea vivutio adhimu wa taifa hili.
Shirika la Hifadhi ya Taifa (TANAPA), Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) pamoja na...

 

10 years ago

Michuzi

SIKU YA MSANII KUFANYIKA OKTOBA 25 MLIMANI CITY JIJINI DAR

Ofisa Uhusiano wa Siku Ya Msanii, Peter Mwendapole akizungumza katika mkutanoa na waandishi wa habari kuhusu wasanii watakaotumbuiza kwenye Tamasha la Siku Ya Msanii Jumamosi Ijayo Oktoba 25,2014 katika ukumbi wa Mlimani city jijini Dar. wengine Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Chama Cha Madensa Tanzania, Super Nyamwela, Ahmed Ahmed wa Ako Mpiluka Band, Isha Ramadhan 'Mashauzi' kutoka Mashauzi Classic, Mkurugenzi wa Haak Neel Production, Godfrey Katula na Mwanamuziki John Kitime wa...

 

11 years ago

GPL

MAFIKIZORO WAFUNIKA MLIMANI CITY JIJINI DAR USIKU HUU

Wakali wa kundi la mafikizoro usiku huu wanaendelea na kukamua na burudani ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, Nyomi ya watu imefurika ukumbini hapo kuwashuhudia wakali hawa wa mafikizoro.…

 

10 years ago

Vijimambo

ONESHO LA SITE KUFUNGULIWA KESHO JUMATANO MLIMANI CITY,JIJINI DAR

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Saddick akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uwepo wa onyesho la kimataifa la utalii ‘Swahili International Tourism Expo’ (SITE) linaloandaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB),litakalofunguliwa rasmi kesho Jumatano katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB),Devota Mdachi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu onyesho hilo la kimataifa la utalii ‘Swahili...

 

11 years ago

GPL

A-Z YA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014 MLIMANI CITY JIJINI DAR

Mshindi wa tuzo saba za KTMA Diamond akikabidhiwa tuzo na staa wa filamu Bongo, Vincent Kigosi 'Ray'. ...Akikabidhiwa tuzo na mchumba wake Wema Sepetu.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Siku ya msanii kufanyika Jumamosi ijayo Mlimani City Jijini Dar

PICHA 1

Ofisa Uhusiano wa Siku ya Msanii Tanzania (SYM), Bw. Peter Mwendapole akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Siku ya Msanii Tanzania itakayofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City siku ya tarehe 25 Oktoba, 2014 jijini Dar es Salaam.

Na Beatrice Lyimo- Maelezo.

KAMATI ya Siku ya Msanii Tanzania (SYM) imetangaza rasmi majina ya wasanii watakaotumbuiza katika maadhimisho ya siku hiyo itakayofanyika Oktoba 25 mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City uliopo jijini Dar Es Salaam.

Akizingumza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani