Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Airtel Waendeleza vipaji vya Walemavu hapa nchini, “Tunaweza Band” wawezeshwa kurekodi nyimbo zao mpya.

Katika kuendeleza shughuli zake za huduma kwa jamii kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imeendelea kutoa msaada kwa walemavu kupitia kikundi cha walemavu kijulikanacho kwa jina la “Tunaweza Band”, kwa kuwawezesha kulipia gharama za kurekodi nyimbo zao mpya. Makabidhiano ya mkataba huo kati ya kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel na Ontime Production yalifanyika katika ofisi za Ontime Production iliyopo Kijitonyama kwa Ali Maua ‘A’ jijini Dar Es Salaam.  Akizungumza katika hafla hiyo ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AIRTEL KUENDELEA KUSAIDIA WALEMAVU HAPA NCHINI KWA KUWAONGEZEA VITENDEA KAZI

Afisa masoko wa Airtel Haruna Ndyanabo (wa pili Kulia) akimkabidhi Rukia Salum (wapili Kushoto) mmoja kati ya walemavu waliowezeshwa na Airtel kwa kupatiwa vibanda vya kisasa vya Airtel Money ili kuweza kijipatia kipato na kuendeleza Maisha yao ya kila siku. Wakishuhudia ni baadhi ya walemavu wengine waliowezeshwa na Airtel katika mtaji huo.
Afisa masoko wa Airtel Haruna Ndyanabo (kushoto) akimkabidhi Peter Gwikama mmoja...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yazindua Mashindano ya kuvumbua vipaji vya Muziki

Mkurugenzi wa kitengo cha Masoko wa Airtel Levi Nyakundi akiongea wakati wa uzinduzi wa mashindano ya kusaka vipaji kupitia simu ya mkononi yajulikanayo kama " Airtel TRACE Music Star" kwa lengo la kukuza na kuvumbua vipaji vya wana muziki chipukizi na kuwawezesha kufikia ndoto zao. Program hii ni kwa ushirikiano kati ya Airtel, kampuni ya Trace pamoja na Mwanamuziki wa Marekani Akon, uzinduzi huo ulifanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa high spirit - IT Plaza jijini Dar es saalam.

 

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band wafanya uzinduzi rasmi wa nyimbo yao mpya ya Kariakoo pamoja na kutambulisha Studio yao mpya

skylight band 2

Meneja  wa Band ya Skylight Aneth Kushaba akielezea kwa kina uzinduzi Rasmi wa wimbo wao Mpya unaokwenda kwa jina la Kariakoo ambapo uzinduzi huo uliambatana na Video pamoja na Audio. Pia ametambulisha Rasmi Studio ya kurekodi Muziki ambapo sasa nyimbo zao watakuwa wanafanyia katika Studio yao.

skylight band

Kutoka kushoto ni mmoja wa waimbaji wa Skylight Band Sam Mapenzi, (katikati) ni Meneja wa Band hiyo Aneth Kushaba pamoja na Mwimbaji mwengine wa Skylight Band Joniko Flower wakiwa wanazungumza...

 

9 years ago

Michuzi

VIJANA WA IRINGA WAWEZESHWA NA AIRTEL FURSA

 Mshiriki wa mafunzo ya Airtel Fursa mkoani Iringa Bi Fatuma Mkini (kushoto ) akipokea cheti cha ushiriki wa mafonzo hayo kutoka kwa afisa mahusiano na matukio wa Airtel Bi Dangio Kaniki mara baada ya mafunzo ya Airtel Fursa kumalizika mkoani Iringa kwa vijana zaidi ya 200 kushiriki. Vijana washiriki wa mafunzo ya siku moja ya Airtel Fursa mkoani Iringa wakimsikiliza afisa mahusiano na matukio wa Airtel Bi Dangio Kaniki (kulia) wakati wa ufungizi wa mafunzo hayo yaliyofanyika katika Ukumbi...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL TRACE MUSIC STAR KUIBUA VIPAJI VYA KUIMBA

Ommy Dimpoz akiwa katika pozi na bendi ya Yamoto. Yamoto wakitumbuiza. Raia wa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani