Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Airtel yazindua Mashindano ya kuvumbua vipaji vya Muziki

Mkurugenzi wa kitengo cha Masoko wa Airtel Levi Nyakundi akiongea wakati wa uzinduzi wa mashindano ya kusaka vipaji kupitia simu ya mkononi yajulikanayo kama " Airtel TRACE Music Star" kwa lengo la kukuza na kuvumbua vipaji vya wana muziki chipukizi na kuwawezesha kufikia ndoto zao. Program hii ni kwa ushirikiano kati ya Airtel, kampuni ya Trace pamoja na Mwanamuziki wa Marekani Akon, uzinduzi huo ulifanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa high spirit - IT Plaza jijini Dar es saalam.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee kuanza kuvumbua na kusimamia vipaji vingine

11419202_165666063787240_1338776917_n

Wasanii wanaofanikiwa nchini wameonekana kutofaidi mafanikio yao wao wenyewe na badala yake wameanza kusaidia vipaji vingine.

11419202_165666063787240_1338776917_n

Baada ya Diamond kuanzisha label yake ya WCB ambayo tayari imefanikiwa kumweka kwenye ramani Harmonize, Vanessa Mdee naye ataanza kufanya hivyo hivi karibuni.

Tayari ameanzisha kampuni yake, Mdee Music ambayo licha ya kusimamia kazi zake mwenyewe, itaanza pia kuvumbua na kusimamia vipaji vingine.

Vanessa ameiambia Bongo5 jana kuwa kampuni hiyo itakuwa ikifanya pia...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL TRACE MUSIC STAR KUIBUA VIPAJI VYA KUIMBA

Ommy Dimpoz akiwa katika pozi na bendi ya Yamoto. Yamoto wakitumbuiza. Raia wa…

 

9 years ago

Michuzi

MASHINDANO BAISKELI KILOMITA 115 YA RIFT VALLEY ODYSSEY YAKUZA VIPAJI VYA VIJANA

Washindi wa kwanza wa mashindano.ya baiskeli, ya  Rift Valley Odyssey  ya liyofanyika  jijini arusha  DEC 6 Mwaka huu Sophia Husseni wa kwanza (kulia) na Sophia Adson wa (pili) kutoka kulia wakiwa na Mkurugenzi wa 6degrees Simone Paine wa pili kutoka kulia yaliyo fanyika Arusha ambapo wachezaji toka ndani nan je ya nchi wameshirikai kwa takriban siku mbili kuendesha kwa umbali wa kilomita 115. Masindano ambayo yanawapa ushindi timu ya Warriors ambao wametumia masaa matano na dakika 28

 

10 years ago

Mwananchi

Miaka 10 ya THT: Kutoka uzalishaji wa vipaji vya muziki hadi ubunifu

Kama umewahi kusikia kuhusu kituo cha Tanzania House of Talent (THT) na ukajua kwamba kinajishughulisha na uzalishaji wa vipaji vya sanaa ya muziki, hivi sasa kituo hicho kimetangaza mwelekeo mpya baada ya kutimiza miaka 10.

 

10 years ago

Bongo5

Mr Blue kuanzisha ‘Micharazo Foundation’ kusaidia kukuza vipaji vya muziki

Mr Blue aka Kabayser ameanzisha taasisi ya ‘Micharazo Foundation’ itakayoanza kupokea wasanii wapya na pia itakuwa sehemu ya kukuza vipaji vya wasanii wachanga. Blue ameiambia Bongo5 kuwa kama yeye alisaidiwa na watu mpaka akafikia alipo sasa, yeye pia ana wajibu wa kufanya hivyo kwa watu wengine. “Dhumuni kabisa ya hili kundi ni kusaidia,” amesema Kabayser. […]

 

11 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND YAZIDI KUVUMBUA VIPAJI VIPYA, TUKUTANE PALE KATI JIONI YA LEO‏

Kikosi kazi cha Skylight Band kikishambulia jukwaa ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar huku shabiki wao akipata Ukodak mbele ya jukwaa. Joniko Flower akichana mistari huku wenzake wakionyesha umahiri wao wa kusebeneka.…

 

10 years ago

Michuzi

Airtel Waendeleza vipaji vya Walemavu hapa nchini, “Tunaweza Band” wawezeshwa kurekodi nyimbo zao mpya.

Katika kuendeleza shughuli zake za huduma kwa jamii kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imeendelea kutoa msaada kwa walemavu kupitia kikundi cha walemavu kijulikanacho kwa jina la “Tunaweza Band”, kwa kuwawezesha kulipia gharama za kurekodi nyimbo zao mpya. Makabidhiano ya mkataba huo kati ya kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel na Ontime Production yalifanyika katika ofisi za Ontime Production iliyopo Kijitonyama kwa Ali Maua ‘A’ jijini Dar Es Salaam.  Akizungumza katika hafla hiyo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani