Vanessa Mdee kuanza kuvumbua na kusimamia vipaji vingine
Wasanii wanaofanikiwa nchini wameonekana kutofaidi mafanikio yao wao wenyewe na badala yake wameanza kusaidia vipaji vingine.
Baada ya Diamond kuanzisha label yake ya WCB ambayo tayari imefanikiwa kumweka kwenye ramani Harmonize, Vanessa Mdee naye ataanza kufanya hivyo hivi karibuni.
Tayari ameanzisha kampuni yake, Mdee Music ambayo licha ya kusimamia kazi zake mwenyewe, itaanza pia kuvumbua na kusimamia vipaji vingine.
Vanessa ameiambia Bongo5 jana kuwa kampuni hiyo itakuwa ikifanya pia...
Bongo5
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania