AIRTEL KUENDELEA KUSAIDIA WALEMAVU HAPA NCHINI KWA KUWAONGEZEA VITENDEA KAZI
![](http://api.ning.com:80/files/GutZeHmFpMul2JVAXVOIc9vA-OsVrVi-RAux-YVh2c0uWDZCx4TUhYDH5zN5lxl-9VZJnYl44xUEqvOlN66RqU*nguBKC0dw/PICT1.jpg?width=750)
Afisa masoko wa Airtel Haruna Ndyanabo (wa pili Kulia) akimkabidhi Rukia Salum (wapili Kushoto) mmoja kati ya walemavu waliowezeshwa na Airtel kwa kupatiwa vibanda vya kisasa vya Airtel Money ili kuweza kijipatia kipato na kuendeleza Maisha yao ya kila siku. Wakishuhudia ni baadhi ya walemavu wengine waliowezeshwa na Airtel katika mtaji huo. Afisa masoko wa Airtel Haruna Ndyanabo (kushoto) akimkabidhi Peter Gwikama mmoja...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziAirtel Yaendelea Kusaidia Sekta ya Elimu hapa Nchini
======== ======= ======== Airtel...
10 years ago
GPLAIRTEL YAENDELEA KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU HAPA NCHINI
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/130.jpg)
AIRTEL KUPITIA MRADI WA TUNAKUJALI WAENDELEA KUSAIDIA SHULE HAPA NCHINI
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-3naJclhFgjA/VP3y8ZcNcjI/AAAAAAAHJNw/aSOUuqbjSZo/s72-c/unnamed%2B(7).jpg)
Airtel Waendeleza vipaji vya Walemavu hapa nchini, “Tunaweza Band” wawezeshwa kurekodi nyimbo zao mpya.
9 years ago
MichuziAIRTEL YAENDELEA KUFUNGUA FURSA KWA VIJANA HAPA NCHINI
Mafunzo hayo ya biashara ambayo yamekuwa yakiendeshwa hapa nchini katika mikoa mbali mbali , wiki ijayo yatafanyika Dar Live Mbagala Kuu karibu na Big Bon siku ya Jumanne tarehe 15 ili kuwawezesha vijana kuweza...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-O21khiza4CE/Xm0kwR8cAXI/AAAAAAALjro/PZ3lbt8PX5YQM0jfJs_reLQU7-mSnAU-wCLcBGAsYHQ/s72-c/6-17-768x513.jpg)
Vodacom Tanzania Yaahidi kuendelea kusaidia Wabunifu Nchini
![](https://1.bp.blogspot.com/-O21khiza4CE/Xm0kwR8cAXI/AAAAAAALjro/PZ3lbt8PX5YQM0jfJs_reLQU7-mSnAU-wCLcBGAsYHQ/s640/6-17-768x513.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-aXNdB63RUvQ/Xm0kkv0ReNI/AAAAAAAEGRo/dPcQ4VZgekQ545XXAmGkMzEiPCPpSzzzQCLcBGAsYHQ/s640/1-1-5-768x513.jpg)
10 years ago
Dewji Blog10 Dec
Watanzania wahaswa kuendelea kusaidia sekta ya Michezo nchini
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara akizungumza na wadau wa michezo ya Ngumina na Karate wakati wa hafla ya kukabidhiwa msaada wa Ulingo wa Ngumi wa Kimataifa pamoja na hundi yenye thamani ya shilingi milioni kumi kwa ajili ya kusaidia mchezo wa Karate kutoka kwa Kampuni ya Mawasiliano ya Simu ya Zantel Tanzania leo jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Zantel Pratap Ghose.
Ulingo wa kisasa kwa ajili ya Mchezo wa Ngumi...
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Vitendea kazi ni muhimu kwa usafi wa mazingira
9 years ago
StarTV02 Dec
 Manispaa Ilala lawamani kwa uhaba wa vitendea kazi vya kufanya usafi
Wafanyabiashara wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam wameitaka Manispaa hiyo kuongeza vifaa vya kuweka na kubeba uchafu ili kukabiliana na changamoto ya uchafuzi wa Mazingira na ugonjwa wa kipindupindu unaohatarisha maisha ya wengi.
Wafanyabiashara hao wamesema iwapo hatua stahiki hazitachukuliwa suala la ujenzi holela, umwagaji maji taka katika mitaro ya wazi na utupwaji wa taka ovyo utazidi kushamiri.
Startv ilizungumza na baadhi ya wafanyabiashara katika soko la Kariakoo ambao...