Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania wahaswa kuendelea kusaidia sekta ya Michezo nchini

BFT1

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara akizungumza na wadau wa michezo ya Ngumina  na Karate wakati wa hafla ya kukabidhiwa msaada wa Ulingo wa Ngumi wa Kimataifa pamoja na hundi yenye thamani ya shilingi milioni kumi kwa ajili ya kusaidia mchezo wa Karate kutoka kwa Kampuni ya Mawasiliano ya Simu ya Zantel Tanzania leo jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Zantel Pratap Ghose.

BFT2

Ulingo wa kisasa kwa ajili ya Mchezo wa Ngumi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

China sasa kuendelea kusaidia sekta ya kilimo

Serikali ya China imeahidi kuendelea kutoa ufadhili na utaalamu katika sekta ya kilimo, ili kuongeza uzalishaji wa mazao utakao saidia kuongeza pato la wakulima wadogo na taifa.

 

11 years ago

Michuzi

SERIKALI YASHAURI WADAU WA MICHEZO KUJITOKEZA KUSAIDIA MICHEZO NCHINI

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kupokea msaada wa hundi ya milioni kumi kutoka Zantel kwa ajili ya Chama cha Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT) leo jijini Dar es Salaaam, kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu Zantel Bw. Pratap Ghose. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (kulia), Afisa Mtendaji Mkuu Zantel Bw. Pratap Ghose (kushoto) pamoja na ...

 

5 years ago

Michuzi

Vodacom Tanzania Yaahidi kuendelea kusaidia Wabunifu Nchini

Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia (watatu) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Dola za Kimarekani 5000 kwa kikundi cha Kuku Kalenda App.Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia akizungumza na wageni waalikwa kwenye kufunga maadhimisho ya wiki ya Ubunifu nchini (Innovation Week 2020) ambayo yalifanyika  kwenye ukumbi wa LAPF jijini Dar Es Salaam. Katika maadhimisho hayo yenye kauli mbiu “Buni kwa Tija”...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel Yaendelea Kusaidia Sekta ya Elimu hapa Nchini

 Meneja wa Airtel Simiyu Bw. Ezekiel Nungwi akikabidhi msaada wa vitabu vya sayansi kwa Mkuu wa wilaya ya Bariadi Bw. Erasto Sima.  Mkuu wa shule ya sekondari ya Bariadi Bw. Pawa Lutema akipokea msaada wa vitabu vya sayansi kutoka kwa mkuu wa wilaya Bariadi.  Mkuu wa wilaya ya  Bariad Bw. Erasto Sima akisoma Hotuba katika makabidhiano ya msaada wa vitabu vya masomi ya sayansi kwa shule ya sekondari Bariadi uliotolewa na kampuni ya Airtel Tanzania
========  =======  ======== Airtel...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL KUENDELEA KUSAIDIA WALEMAVU HAPA NCHINI KWA KUWAONGEZEA VITENDEA KAZI

Afisa masoko wa Airtel Haruna Ndyanabo (wa pili Kulia) akimkabidhi Rukia Salum (wapili Kushoto) mmoja kati ya walemavu waliowezeshwa na Airtel kwa kupatiwa vibanda vya kisasa vya Airtel Money ili kuweza kijipatia kipato na kuendeleza Maisha yao ya kila siku. Wakishuhudia ni baadhi ya walemavu wengine waliowezeshwa na Airtel katika mtaji huo.
Afisa masoko wa Airtel Haruna Ndyanabo (kushoto) akimkabidhi Peter Gwikama mmoja...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAENDELEA KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU HAPA NCHINI‏

Meneja wa Airtel Simiyu Bw. Ezekiel Nungwi akikabidhi msaada wa vitabu vya sayansi kwa Mkuu wa wilaya ya Bariadi Bw. Erasto Sima Mkuu wa shule ya sekondari ya Bariadi Bw. Pawa Lutema akipokea msaada wa vitabu vya sayansi kutoka kwa mkuu wa wilaya Bariadi.…

 

9 years ago

StarTV

Watanzania wahimizwa kuwekeza nchini ili kuimarisha sekta ya uchumi

Watanzania wamehimizwa kuwekeza nchini ili kuimarisha sekta ya uchumi hususani kupitia viwanda ambavyo vitazalisha bidhaa bora zitakazouzwa nje ya nchi na kujipatia fedha za kigeni.

Hivi sasa Tanzania inatajwa kuingiza bidhaa nyingi kutoka nchi za nje hali inayosababisha kudorora kwa shilingi ya Tanzania dhidi ya fedha za kigeni hususani dola ya kimarekani.

Kwa kiasi kikubwa Tanzania inauza bidhaa ghafi nje ya nchi ambazo thamani yake inakuwa chini wakati uingizwaji wa bidhaa mbalimbali...

 

9 years ago

Michuzi

MSHAURI WA CHAMA CHA DUNIA CHA MCHEZO WA MPIRA WA KIKAPU AKUTANA NA UONGOZI WA SEKTA YA MICHEZO NCHINI

 Mkurugenzi Idara ya Michezo Bw. Leonard Thadeo (kulia) akizungumza na  Mshauri wa Chama cha Dunia cha Mchezo wa Mpira wa Kikapu (FIBA) Bw. Lubomir Kotleba (kushoto) alipofika nchini Tanzania kufuatilia maendeleo ya mchezo huo jana Jijini Dar es Salaam. Mshauri wa Chama cha Dunia cha Mchezo wa Mpira wa Kikapu (FIBA) Bw. Lubomir Kotleba (kulia) akizungumza na maafisa Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (hawapo pichani) alipofika nchini Tanzania kufuatilia maendeleo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani