AIRTEL YAKABIDHI VITABU VYA SAYANSI KWA SHULE YA SEKONDARI MAZINDE DAY KOROGWE
![](http://api.ning.com:80/files/K6CBBOJeKwF*2TpFRW1rw4utV76C5l2MZU8tOS6VkgyuEueHteWUGObvyKx*jxFIyI4Ll-fdpUK36s6pOOFvy3Iq3t5kNVKU/1.jpg?width=650)
Meneja mauzo Kanda ya Kaskazini wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, Aluta Kweka ( kulia) pamoja na Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Hafsa Mtasiwa (wa kwanza kushoto) akifatia na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Patricia Andrew Mbigili (katikati) wakiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya mazinde Day wakionyesha vitabu walivyokabidhi na Airtel ikiwa na lengo la kutatua changamoto ya uhaba wa vitabu...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-HnCGJhcAG9I/Vjm2gEaGrKI/AAAAAAAAvfw/0MFs_VCdTo8/s72-c/unnamedA1.jpg)
Airtel yakabidhi vitabu vya sayansi kwa shule ya sekondari Mazinde Day Korogwe
![](http://3.bp.blogspot.com/-HnCGJhcAG9I/Vjm2gEaGrKI/AAAAAAAAvfw/0MFs_VCdTo8/s640/unnamedA1.jpg)
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/DSC_0019.jpg)
UNESCO KUPITIA READ INTERNATIONAL WATOA MSAADA WA VITABU VYA SAYANSI KWA SHULE YA SEKONDARI MWEDO ARUMERU
9 years ago
Habarileo04 Nov
Mazinde Day wakabidhiwa vitabu vya sayansi
KAMPUNI ya simu ya mkononi ya Airtel kupitia mpango wake wa Airtel shule yetu, imetoa msaada wa vitabu vyenye thamani ya Sh milioni tatu kwa shule ya sekondari ya Mazinde Day ya mkoani Tanga wilaya ya Korogwe.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-cMWxpucSd30/VEju5VLEdoI/AAAAAAAGs5s/lPk-JM7SAe0/s72-c/unnamed%2B(92).jpg)
Airtel yatatua changamoto za uhaba wa vitabu vya sayansi Katika shule ya Sekondari Mukulati Mkoani Arusha
Licha ya Kada ya sayansi kuwa ndio chimbuko kubwa la wataalamu wengi katika fani mbalimbali bado inatajwa kutofanya vizuri kutokana na uhaba wa miundombinu na vifaa stahiki ambayo ni muhimu kwa maendeleo ya kada hiyo.
Meneja wa Airtel...
10 years ago
GPLAIRTEL YATATUA CHANGAMOTO ZA UHABA WA VITABU VYA SAYANSI KATIKA SHULE YA SEKONDARI MUKULATI MKOANI ARUSHA
10 years ago
MichuziJK apokea vitabu vya sayansi kwa shule za Sekondari vilivyochapishwa kwa msaada wa watu wa marekani
10 years ago
Dewji Blog28 Sep
Airtel yamwaga vitabu vya sayansi sekondari Singida
Meneja wa Biashara wa Kanda ya Kati Stephen Akyoo (Kulia) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Singida Mwalimu Qeen Mlozi sehemu ya vitabu vya masomo ya Sayansi kwa ajili ya shule nne za sekondari katika Mkoa wa Singida zilizonufaika na msaada huo kupitia mradi wa Kampuni wa shule yetu katika hafla fupi iliyofanyika katika shule ya sekondari Mitunduruni Manispaa ya Singida.
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
KAMPUNI ya mitandao ya simu za mkononi ya Airtel kupitia mradi wake wa shule yetu imefanikiwa kutoa...
11 years ago
Dewji Blog11 Aug
UNESCO kupitia READ INTERNATIONAL watoa msaada wa vitabu vya Sayansi kwa shule ya sekondari MWEDO Arumeru
Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa UNESCO, Bw. Al Amin Yusuph akipolewa na Mwalimu wa Taalum na msimamizi wa Maktaba wa Shule ya wasichana ya Mwedo, Joseph Mangomes alipofika shuleni hapo kukabidhi msaada wa vitabu vya masomo ya Sayansi uliotolewa na Shirika la Read International kupitia UNESCO.
Na Mwandishi wetu, Arumeru
Wanafunzi wa shule ya Mwedo sekondari iliyopo wilayani Arumeru wamelishukuru Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kupitia Read International la...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Fc-HsIVjvnk/VLeEg1RfDlI/AAAAAAAG9eM/xyTvxeahorE/s72-c/unnamed%2B(17).jpg)
AIRTEL YATOA VITABU VYA SAYANSI SEKONDARI BARIADI SIMIYU
![](http://2.bp.blogspot.com/-Fc-HsIVjvnk/VLeEg1RfDlI/AAAAAAAG9eM/xyTvxeahorE/s1600/unnamed%2B(17).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-wYhQL2HKdR0/VLeEg4EeoqI/AAAAAAAG9eU/x7DqDXGAe8w/s1600/unnamed%2B(18).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-7TTi1u92ve0/VLeEhO_ytOI/AAAAAAAG9eQ/qz84mhPlscQ/s1600/unnamed%2B(19).jpg)