Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIRTEL YAMWAGA VITABU VYA MILIONI 15 WILAYANI MAKETE -NJOMBE

Meneja wa Kanda za juu kusini wa Airtel bw, Straton Mushi akikabidhi msaada wa vitabu kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira, Dokta BINILITHI MAHENGE utakaofaidisha jumla ya shule 5 zilizopo wilaya ya Makete mkoani Njombe. Shule zinazofaidika ni Iwawa, Kipagalo, Mlondwe, shule ya Makete ya wasichana na ile ya Ipelele zote mkoani Njombe wilaya ya Makete. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jana katika shule ya Iwawa iliyopo wilayani Makete. Anaeshudia kushoto ni mkuu wa shule...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Airtel yagawa vitabu vya mil.15/- Makete

MRADI wa Shule Yetu unaotekelezwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, umetoa msaada vitabu vya kiada na ziada vya masomo ya sayansi vyenye thamani ya zaidi ya sh...

 

10 years ago

Dewji Blog

Airtel yamwaga vitabu vya sayansi sekondari Singida

AKYOO

Meneja wa Biashara wa Kanda ya Kati Stephen Akyoo (Kulia) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Singida Mwalimu Qeen Mlozi sehemu ya vitabu vya masomo ya Sayansi kwa ajili ya shule nne za sekondari katika Mkoa wa Singida zilizonufaika na msaada huo kupitia mradi wa Kampuni wa shule yetu katika hafla fupi iliyofanyika katika shule ya sekondari Mitunduruni Manispaa ya Singida.

Na Hillary Shoo, SINGIDA.

KAMPUNI ya mitandao ya simu za mkononi ya Airtel kupitia mradi wake wa shule yetu imefanikiwa kutoa...

 

11 years ago

GPL

BASI LA KAMPUNI YA JAPANESE LAPATA AJALI WILAYANI MAKETE,NJOMBE

Basi la kampuni ya Japanese Express linalofanya safari zake kati ya Makete - Njombe likiwa limetumbukia mtoni mpakani mwa kata ya Lupalilo na tandala wilayani Makete mkoani Njombe, zaidi tazama picha zifuatazo hapa chini.…

 

10 years ago

Michuzi

IDARA YA UHAMIAJI MKOA WA NJOMBE YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA WILAYANI MAKETE

Hivi karibuni Idara ya uhamiaji mkoa wa Njombe iliunga mkono jitihada za mkuu wa wilaya ya makete Josephine Matiro kusaidia vituo vya watoto yatima wilayani humo kwa kutoa msaada wa zaidi ya shilingi milioni 1
Akizungumza wakati akikabidhi msaada wao afisa uhamiaji mkoa wa Njombe Rose Mhagama alisema wameguswa na suala hilo na kuamua kuvisaidia vituo vya watoto yatima Makete vitu mbalimbali, na kuwaomba wadau wengine kujitokeza kuwasaidia watoto hao
Kwa upande wake Mkuu wa wilaya Hiyo Bi...

 

10 years ago

Michuzi

AIRTEL YATOA VITABU VYA SAYANSI SEKONDARI BARIADI SIMIYU

Mkuu wa wilaya ya Bariadi Bw. Erasto Sima akisoma Hotuba katika makabidhiano ya msaada wa vitabu vya masomo ya sayansi kwa shule ya sekondari Bariadi uliotolewa na kampuni ya Airtel Tanzania. Mkuu wa shule ya sekondari ya Bariadi Bw. Pawa Lutema akipokea msaada wa vitabu vya sayansi kutoka kwa mkuu wa wilaya Bariadi, Vitabu hivyo vyote vinathamani ya sh milioni 6 na ni vya masomo ya sayansi kutoka kampuni ya simu ya Airtel kupitia mradi wake wa kusaidia elimu wa Airtel Shule yetu. Meneja...

 

9 years ago

Michuzi

Airtel yakabidhi vitabu vya sayansi kwa shule ya sekondari Mazinde Day Korogwe

Meneja mauzo Kanda ya Kaskazini wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, Aluta Kweka ( kulia) pamoja na Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Hafsa Mtasiwa (wa kwanza kushoto) akifatia na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Patricia Andrew Mbigili (katikati) wakiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya mazinde Day wakionyesha vitabu walivyokabidhi na Airtel ikiwa na lengo la kutatua changamoto ya uhaba wa vitabu shuleni hapo. Vitabu hivyo vya sayansi vinathamani ya shilingi milioni...

 

9 years ago

GPL

AIRTEL YAKABIDHI VITABU VYA SAYANSI KWA SHULE YA SEKONDARI MAZINDE DAY KOROGWE‏

Meneja mauzo Kanda ya Kaskazini wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, Aluta Kweka ( kulia) pamoja na Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Hafsa Mtasiwa (wa kwanza kushoto) akifatia na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Patricia Andrew Mbigili (katikati) wakiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya mazinde Day wakionyesha vitabu walivyokabidhi na Airtel ikiwa na lengo la kutatua changamoto ya uhaba wa vitabu...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YATATUA CHANGAMOTO ZA UHABA WA VITABU VYA SAYANSI KATIKA SHULE YA SEKONDARI MUKULATI MKOANI ARUSHA

Meneja Mauzo wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel mkoa wa kilimanjaro Paschal Bikomagu kushoto akimkabidhi baadhi ya vitabu vya sayansi kwa Diwani wa  kata ya Olkokola Joseph laizer  kwa niaba ya shule ya sekondari Mukulati  mkoani arusha  wakati wa mahafali ya 17 ya kidato cha nne ya shule hiyo.…

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yatatua changamoto za uhaba wa vitabu vya sayansi Katika shule ya Sekondari Mukulati Mkoani Arusha

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel  imeedelea kuungana na serikali katika kusaidia kuboresha maendeleo ya sekta ya elimu  nchini ambapo imetoa vitabu vya ziada na kiada  katika masomo ya sayansi kwa shule ya sekondari mukulati wilayani Arumeru mkoani Arusha
Licha ya Kada ya sayansi kuwa ndio chimbuko kubwa  la wataalamu wengi katika fani mbalimbali bado  inatajwa kutofanya vizuri kutokana na uhaba wa miundombinu na vifaa stahiki ambayo ni muhimu kwa maendeleo ya kada hiyo. 
Meneja wa Airtel...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani