Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BASI LA KAMPUNI YA JAPANESE LAPATA AJALI WILAYANI MAKETE,NJOMBE

Basi la kampuni ya Japanese Express linalofanya safari zake kati ya Makete - Njombe likiwa limetumbukia mtoni mpakani mwa kata ya Lupalilo na tandala wilayani Makete mkoani Njombe, zaidi tazama picha zifuatazo hapa chini.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NEWZZ ALERT :BASI LA KAMPUNI YA GAMET LAPATA AJALI KIBITI-MKOA WA PWANI

Taarifa zilizoifikia Globu ya Jamii hivi punde kutoka chanzo cha kuaminika,zinaeleza kuwa Basi la kampuni ya GAMET Transport limepata ajali maeneo ya Kibiti wilaya ya Rufiji-Utete mkoa wa Pwani baada ya kutaka kumkwepa mtu anayedaiwa kuwa na tatizo la akili,lakini kwa bahati mbaya likamgonga na kufariki papo hapo,taarifa zaidi zinaeleza kuwa baada ya ajali hiyo basi hilo liliacha njia na kupinduka na kupelekea kifo cha mtu mmoja aliyegongwa na wengine waliokuwemo ndani ya basi hilo (idadi ya...

 

9 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: BASI LA KAMPUNI YA NEW FORCE LAPATA AJALI MBAYA MKOANI IRINGA LEO

 NEWS UPDATES.:Jumla ya watu. 12 wamepoteza Maisha na 22 wamejeruhiwa leo baada ya basi la New Force kupata ajali Eneo la Mahenge Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa barabara kuu ya Iringa- Dar es salaam..
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa,Peter Kakamba amethibitisha watu 12 kupoteza maisha katika ajali hiyo. Wanane ni wanae na wanne ni wanawake. Abiria 28 wamejeruhiwa wakiwemo madereva wa basi la lori na hali zao siyo nzuri.

Ajali hiyo imetokea majira ya saa nane alasiri ambapo basi la...

 

10 years ago

Michuzi

AIRTEL YAMWAGA VITABU VYA MILIONI 15 WILAYANI MAKETE -NJOMBE

Meneja wa Kanda za juu kusini wa Airtel bw, Straton Mushi akikabidhi msaada wa vitabu kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira, Dokta BINILITHI MAHENGE utakaofaidisha jumla ya shule 5 zilizopo wilaya ya Makete mkoani Njombe. Shule zinazofaidika ni Iwawa, Kipagalo, Mlondwe, shule ya Makete ya wasichana na ile ya Ipelele zote mkoani Njombe wilaya ya Makete. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jana katika shule ya Iwawa iliyopo wilayani Makete. Anaeshudia kushoto ni mkuu wa shule...

 

10 years ago

Michuzi

IDARA YA UHAMIAJI MKOA WA NJOMBE YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA WILAYANI MAKETE

Hivi karibuni Idara ya uhamiaji mkoa wa Njombe iliunga mkono jitihada za mkuu wa wilaya ya makete Josephine Matiro kusaidia vituo vya watoto yatima wilayani humo kwa kutoa msaada wa zaidi ya shilingi milioni 1
Akizungumza wakati akikabidhi msaada wao afisa uhamiaji mkoa wa Njombe Rose Mhagama alisema wameguswa na suala hilo na kuamua kuvisaidia vituo vya watoto yatima Makete vitu mbalimbali, na kuwaomba wadau wengine kujitokeza kuwasaidia watoto hao
Kwa upande wake Mkuu wa wilaya Hiyo Bi...

 

10 years ago

GPL

BASI LA PRINCES MUNAA LAPATA AJALI DODOMA

Gari la Princes Munaa lenye namba za usajili T183 CRW likiwa limepiga mweleka. Muda mfupi uliopita, kumetokea ajali ya Basi la Princes Munaa lililokuwa likitokea Jijini Dar es Salaam kwenda Mwanza, katika kijiji cha Mtanana Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma. Hakuna aliepoteza maisha katika ajali hii, watu kadhaa…

 

10 years ago

Habarileo

Basi la Osaka lapata ajali, mmoja ajeruhiwa

David Misime.ABIRIA 57 wa basi la Osaka lililokuwa linatoka Bukoba kwenda Dar es Salaam wamenusurika kifo baada ya basi hilo kugonga tela la lori lililokuwa limeegeshwa kutokana na kuwa bovu na kutumbukia mtaroni.

 

10 years ago

GPL

BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI MSATA

ZAIDI ya abiria 60 wamenusurika kifo, baada ya basi la Dar Express lililokuwa linatoka Dar kwenda Nairobi kupasuka tairi la mbele kushoto kisha kupinduka katika eneo la Msata karibu na daraja la Wami mkoani Pwani leo.

 

10 years ago

GPL

BASI LA HAPPY NATION LAPATA AJALI MBEYA

Basi la Happy Nation maarufu kama Balotelli mtukutu lenye namba za usajili T 281 ARR likiwa limepata ajali maeneo ya Igurusi, Mbeya.…

 

11 years ago

GPL

BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI WAMI

Zaidi ya abiria 60 wamenusurika kifo, baada ya basi la Dar express lililokuwa linatoka Dar Es Salaam kwenda Nairobi kupinduka eneo la Msata karibu na daraja la Wami. Chanzo ni kupasuka kwa tairi la mbele la kushoto la basi hilo. Chanzo: Radio One Stereo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani