Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIRTEL YASHIRIKIANA NA MBUNIFU MAHIRI AFRIKA

Mbunifu nguli wa mitindo Afrika, Mustafa Hassanali akizungumza na wageni waalikwa kuhusiana na huduma mpya ya kuwa karibu naye kwa mashabiki wa mitindo kupata taarifa zake kupitia simu zao za mkononi kwa kupiga *148*82# na moja kwa moja utakuwa umeunganishwa na huduma hiyo na kutozwa shilingi 90 za kitanzania kwa siku. Kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel inayotoa huduma nafuu na yenye wigo mpana zaidi wa mawasiliano,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Airtel yazindua huduma mpya ya mitindo kwa njia ya simu kwa kushirikiana na Mbunifu Mahiri Afrika Mustafa hassanali.

 Mbunifu nguli wa mitindo Afrika, Mustafa Hassanali akizungumza na wageni waalikwa kuhusiana na huduma mpya ya kuwa karibu naye kwa mashabiki wa mitindo kupata taarifa zake kupitia simu zao za  mkononi za Airtel  kwa kupiga *148*82# na moja kwa moja utakuwa umeunganishwa na huduma hiyo na kutozwa shilingi 90 za kitanzania kwa siku.Kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel inayotoa huduma nafuu na yenye wigo mpana zaidi wa mawasiliano, imeshirikiana na mbunifu wa mitindo Afrika ,Mustafa Hasanali...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YASHIRIKIANA NA FINCA KUTOA HUDUMA ZA KIFEDHA‏

Meneja  Masoko wa Airtel Money Bwana Stephen  Kimea  (wa pili kushoto) pamoja na Meneja wa kanda ya Dar es saalam  wa Finca Microfinance Benki  Bi Sarah Daffer  kwa pamoja wakionyesha kipeperushi cha huduma mpya waliyoizundua  itakayowawezesha wateja wa Finca kuhamisha pesa kwenye akaunti zao za benki kwenda kwenye akaunti ya Airtel Money, na kuhamisha pesa kutoka Airtel money akanti kwenda akanti ya ...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yashirikiana na Kitengo cha damu salama cha taifa kuokoa maisha

Mtaalam wa Kutoa Damu wa Kitengo cha Damu Salama, Kanda ya Mashariki, Daudi Mkawa akimtoa damu Mfanyakazi wa Airtel Tanzania, Amitin Mbamba wakati wa zoezi la kuchangia damu lililofanywa na wafanyakazi wa vitengo mbalimbali vya Airtel, jijini Dar es Salaam jana. Kitengo cha Damu Salama kina upungufu mkubwa wa damu ambapo kiasi cha ujazo wa unit 350,000 zinahitajika kwa ajili ya dharura za kitabibu kila mwaka.Wafanyakazi wa Airtel Tanzania (kutoka kushoto), Adam Suleiman na Frank Munale...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yazindua huduma ya kutuma na kutoa pesa Afrika Mashariki kupitia Airtel money

Kampuni ya simu za Mkononi ya Bharti Airtel yenye kufanya shughuli zake katika nchi 20 barani Afrika na Asia leo imetangaza mpango wa kuzindua huduma ya kutuma na kupokea pesa Afrika Mashariki. 
Huduma hii ya kwanza barani Afrika itamwezesha Mteja wa Airtel kutuma , kupokea na kutoa pesa kutoka kwenye salio lake la Airtel Money Hatua ya awali ya huduma hii inategemea kuanza tarehe 1 November 2014 kwa kushirikisha nchi za Kenya, Uganda, Tanzania na Rwanda ambapo huduma hii itaweza kupatikana...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbunifu Sheria Ngowi afunika katika maonyesho ya mavazi ya ‘Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014′ nchini Afrika Kusini

Na Mwandishi wetu

Mbunifu wa kimataifa wa mavazi kutoka Tanzania, Sheria Ngowi amedhihirisha kuwa yeye ni nguli katika ubunifu baada ya kufinika katika onyesho la mavazi la kimataifa lijulikanalo kama Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014 lililofanyika juzi Ijumaa mjini Johannesburg, Afrika Kusini.

Ngowi alionyesha mkusanyiko wa mavazi aliyoyaita ‘PRIDE’ yaani kujivunia,  kama moja ya njia za kumuenzi Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere pamoja na viongozi mashuhuri waliopigania uhuru...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA SHERIA NGOWI AFUNIKA KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI YA 'MERCEDES BENZ FASHION WEEK AFRICA 2014' NCHINI AFRIKA KUSINI

Na Mwandishi wetuMbunifu wa kimataifa wa mavazi kutoka Tanzania, Sheria Ngowi amedhihirisha kuwa yeye ni nguli katika ubunifu baada ya kufinika katika onyesho la mavazi la kimataifa lijulikanalo kama Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014 lililofanyika juzi Ijumaa mjini Johannesburg, Afrika Kusini.Ngowi alionyesha mkusanyiko wa mavazi aliyoyaita 'PRIDE' yaani kujivunia, kama moja ya njia za kumuenzi Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere pamoja na viongozi mashuhuri waliopigania uhuru...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani