AIRTEL YASHIRIKIANA NA FINCA KUTOA HUDUMA ZA KIFEDHA
![](http://api.ning.com:80/files/cFSv-yJm2DQXFg1d20W5POhodeSJhNvfbYyx4AmJsznCPtb1rOKeQ-m1nW7HdJpKqFZytR*kE40G4JB0rCD70FMIDMDY00vW/Picture3.jpg?width=650)
Meneja Masoko wa Airtel Money Bwana Stephen Kimea (wa pili kushoto) pamoja na Meneja wa kanda ya Dar es saalam wa Finca Microfinance Benki Bi Sarah Daffer kwa pamoja wakionyesha kipeperushi cha huduma mpya waliyoizundua itakayowawezesha wateja wa Finca kuhamisha pesa kwenye akaunti zao za benki kwenda kwenye akaunti ya Airtel Money, na kuhamisha pesa kutoka Airtel money akanti kwenda akanti ya ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboAIRTEL YAINGIA MKATABA NA FINCA WA KUTOA HUDUMA ZA KIFEDHA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/gDF3S0THO9xaLxKrBLF-NcW3dpcS--dMgIBn-UqPXh-VLsIrWTU5YcJ1nInbDtx3N3nkDvmllKahgEDaV7c0DNUnYJ8kgAjU/001.LEO.jpg?width=650)
VODACOM NA TIGO WAUNGANA KUTOA HUDUMA BORA ZA KIFEDHA
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutia saini makubaliano ya kutoa huduma za kutuma na kupokea fedha na miamala mbalimbali ya malipo zinazotolewa na kampuni yake kupitia huduma ya M-Pesa na Tigo kupitia huduma yake ya Tigopesa. Anayeshuhudia kulia ni Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez.
Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v4ZZJy3ZUOd*uiOH7cPIijJlqn3XYdiEkpKDz5c7mRTyshhnGru8NVYG41qEwxcqhytwj7iI-2Ogfr-mFHxoh8Dk6iODXxgi/003.Moneygram.jpg)
VODACOM NA MONEYGRAM WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO YA KUTOA HUDUMA ZA KIFEDHA
Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo ya Kitaifa wa Benki kuu ya Tanzania (BoT) Bernard Dadi (katikati) na Makamu wa Rais wa Moneygram Afrika, Herve Chomel(kulia) wakimshuhudia Ofisa Mkuu wa Idara ya huduma za biashara za M-Pesa wa Vodacom Tanzania,Jacques Voogt( kushoto) akisaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kutoa huduma ya kutuma na kupokea fedha kwa njia ya M-pesa na Moneygram (Monegram M-Pesa) ambayo itawanufaisha wateja...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-tRXgGHTUdOrAXqFClet9mVhpHYYb2IrbqSSLxy5n4FOHD1pqLpnKnYDOmfsKoB4QCjuTFTlCgXxalQtu7aQlR0Pdqn4ydBC/001.jpg?width=650)
VODACOM YATOA MADA KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE KWENYE WARSHA YA KUSHIRIKISHANA NJIA ZA KUBORESHA NA KUPANUA HUDUMA ZA KIFEDHA
Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania ,Kelvin Twissa akitoa mada juu ya huduma zinazotolewa na kampuni yake wakati wa Warsha ya kushirikishana uzoefu kuhusu njia za kuboresha na kupanua huduma za kifedha kwa biashara ndogo na za kati hapo jana. Warsha hiyo iliandaliwa na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) na kudhaminiwa na Vodacom.Kushoto ni muongozaji wa mada Felix Mlaki na Katikati ni...
10 years ago
GPLNMB, AIRTEL WAZINDUA HUDUMA YA KIFEDHA KWA NJIA YA MTANDAO
Mgeni rasmi katika hafla hiyo Mh.Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akizungumza jambo kwenye hafla hiyo. Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano akieleza jambo katika hafla hiyo.…
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-2B1-QLkIo_o/VO27Bk8K3lI/AAAAAAAHF1E/p95qtpfBySg/s72-c/unnamed%2B(58).jpg)
VODACOM NA TIGO WAUNGANA KUTOA HUDUMA BORA ZA KIFEDHA
![](http://2.bp.blogspot.com/-2B1-QLkIo_o/VO27Bk8K3lI/AAAAAAAHF1E/p95qtpfBySg/s1600/unnamed%2B(58).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-U07cOF2XESY/VO27AjbJaWI/AAAAAAAHF0w/ABAl6VaGssg/s1600/unnamed%2B(57).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-H8T6zkn_zYY/VEOEXo1BKFI/AAAAAAAGr5o/rdUR8o3Fdjg/s72-c/download.jpg)
Airtel yazindua huduma ya kutuma na kutoa pesa Afrika Mashariki kupitia Airtel money
![](http://2.bp.blogspot.com/-H8T6zkn_zYY/VEOEXo1BKFI/AAAAAAAGr5o/rdUR8o3Fdjg/s1600/download.jpg)
Huduma hii ya kwanza barani Afrika itamwezesha Mteja wa Airtel kutuma , kupokea na kutoa pesa kutoka kwenye salio lake la Airtel Money Hatua ya awali ya huduma hii inategemea kuanza tarehe 1 November 2014 kwa kushirikisha nchi za Kenya, Uganda, Tanzania na Rwanda ambapo huduma hii itaweza kupatikana...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-1KVNYKjJ83U/VdxPUqYuZbI/AAAAAAAHz24/ehBBVnXC3rc/s72-c/001.Moneygram.jpg)
VODACOM NA MONEYGRAM WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO WA KUTOA HUDUMA ZA KIFEDHA
![](http://3.bp.blogspot.com/-1KVNYKjJ83U/VdxPUqYuZbI/AAAAAAAHz24/ehBBVnXC3rc/s640/001.Moneygram.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-JVQIvRvfsrs/VdxPUnLO0hI/AAAAAAAHz3A/NgbaowVsw-o/s640/003.Moneygram.jpg)
9 years ago
Mwananchi29 Sep
Tanzania yaongoza duniani kutoa huduma za kifedha kwa simu
Tanzania ni nchi ya kwanza duniani kutoa huduma za pesa, kutoa mikopo na kutoa riba kwa kutumia mawasiliano ya simu, kwa mujibu wa Benki ya Dunia (WB)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania