Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yaongoza duniani kutoa huduma za kifedha kwa simu

Tanzania ni nchi ya kwanza duniani kutoa huduma za pesa, kutoa mikopo na kutoa riba kwa kutumia mawasiliano ya simu, kwa mujibu wa Benki ya Dunia (WB)

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

BENKI YA DUNIA: Tanzania yaongoza Duniani kutoa huduma za Pesa kwa simu za mkononi!

Mobile-Money

Picha ya Maktaba  inavyoonesha namna ya huduma za kifedha zinavyofanyika kutoka simu ya mteja mmoja na kwenda kwa mteja mwingine kwa kutumiana pesa kwa njia hiyo ya simu za Mkononi, ambapo kwa Tanzania imekuwa kinara katika huduma hiyo.

TANZANIA ni nchi ya kwanza duniani kutoa huduma za pesa, kutoa mikopo na kutoa riba kwa
kutumia mawasiliano ya simu, Benki ya Dunia imesema na kuongeza kuwa Tanzania
ni moja ya masoko makubwa zaidi duniani ya kutoa huduma ya fedha kwa njia...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA DUNIA: TANZANIA YAONGOZA DUNIANI KUTOA HUDUMA ZA PESA KWA SIMUTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
TANZANIA ni nchi ya kwanza duniani kutoa huduma za pesa, kutoa mikopo na kutoa riba kwa kutumia mawasiliano ya simu, Benki ya Dunia imesema na kuongeza kuwa Tanzania ni moja ya masoko makubwa zaidi duniani ya kutoa huduma ya fedha kwa njia ya simu.


Benki hiyo ya Dunia pia imesema kuwa Serikali ya Tanzania imewekeza kwa kiwango cha juu katika mfumo wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) ikilinganishwa na nchi...

 

11 years ago

Mwananchi

Nusu ya watu wazima nchi wanatumia simu kwa huduma za kifedha

Matokeo ya utafiti wa FinScope Tanzania 2013 uliozinduliwa mjini Dar es Salaam mwanzoni mwa mwezi huu, yanatoa mwanga kuhusu mitazamo ya watu na tabia kuhusu hali zao kifedha.

 

10 years ago

Vijimambo

AIRTEL YAINGIA MKATABA NA FINCA WA KUTOA HUDUMA ZA KIFEDHA

 Meneja Mahusiano wa Kampuni ya simu ya Airtel, Jackson Mmbando (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu ushirikiano wa Airtel na Finca kutoa huduma za kifedha. Kutoka kulia ni , Vivian Temi na Meneja wa Huduma ya Airtel Money, Stephen Kimea.
 Meneja wa Huduma ya Airtel Money, Stephen Kimea (wa pili kushoto), akizungumza katika mkutano huo kuhusu huduma hiyo. Kulia ni Msimamizi Kitengo cha Huduma kwa Wateja wa Benki ya Finca Microfinance, Vivian...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YASHIRIKIANA NA FINCA KUTOA HUDUMA ZA KIFEDHA‏

Meneja  Masoko wa Airtel Money Bwana Stephen  Kimea  (wa pili kushoto) pamoja na Meneja wa kanda ya Dar es saalam  wa Finca Microfinance Benki  Bi Sarah Daffer  kwa pamoja wakionyesha kipeperushi cha huduma mpya waliyoizundua  itakayowawezesha wateja wa Finca kuhamisha pesa kwenye akaunti zao za benki kwenda kwenye akaunti ya Airtel Money, na kuhamisha pesa kutoka Airtel money akanti kwenda akanti ya ...

 

10 years ago

Michuzi

VODACOM NA TIGO WAUNGANA KUTOA HUDUMA BORA ZA KIFEDHA

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza (kushoto, aliyekaa) na Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez (kulia, aliyekaa), wakitia saini mkataba wa makubaliano ya kutoa huduma za kutuma na kupokea fedha na miamala mbalimbali ya malipo zinazotolewa na makampuni yao kupitia huduma ya M-Pesa na Tigopesa. Wanaoshuhudia kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa Vodacom Tanzania, Ngayama Matongo na kulia ni Meneja wa Chapa ya Tigo, William Mpinga.Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom...

 

10 years ago

GPL

VODACOM NA TIGO WAUNGANA KUTOA HUDUMA BORA ZA KIFEDHA‏

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutia saini makubaliano ya kutoa huduma za kutuma na kupokea  fedha na miamala mbalimbali ya malipo zinazotolewa na kampuni yake kupitia huduma ya M-Pesa na Tigo kupitia huduma yake ya Tigopesa. Anayeshuhudia kulia ni Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez.
Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego...

 

9 years ago

Michuzi

VODACOM NA MONEYGRAM WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO WA KUTOA HUDUMA ZA KIFEDHA

 Ofisa Mkuu wa Idara ya huduma za biashara za M-Pesa wa Vodacom Tanzania,Jacques Voogt akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa hafla ya Uzinduzi  wa makubaliano ya ushirikiano wa kutoa huduma ya kutuma na kupokea fedha kwa njia ya M-pesa na Moneygram (Moneygram M-Pesa)ambayo itawanufaisha wateja wanaoishi Nje ya nchi kutuma fedha na kuingia moja kwa moja kwa jamaa zao waliopo nchini.Uzinduzi huo ulifanyika jijini leo Dar es Salaam.003.Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo ya...

 

9 years ago

GPL

VODACOM NA MONEYGRAM WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO YA KUTOA HUDUMA ZA KIFEDHA‏

Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo ya Kitaifa wa Benki kuu ya Tanzania (BoT) Bernard Dadi (katikati) na Makamu wa Rais wa Moneygram Afrika, Herve Chomel(kulia) wakimshuhudia Ofisa Mkuu wa Idara ya huduma za biashara za M-Pesa wa Vodacom Tanzania,Jacques Voogt( kushoto) akisaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kutoa huduma ya kutuma na kupokea fedha kwa njia ya M-pesa na Moneygram (Monegram M-Pesa) ambayo itawanufaisha wateja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani