Ajali barabarani Tanzania zaongezeka
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
Ajali za barabarani zaongezeka Iringa
TAKWIMU zinaonyesha kuwepo kwa ongezeko la ajali za barabarani mara saba zaidi zinazohusisha pikipiki Mkoa wa Iringa kati ya Januari 1 hadi Machi 31 ikilinganishwa na miezi kama hii mwaka...
10 years ago
Dewji Blog01 Dec
Ajali za barabarani zaongezeka Tabora, zauwa idadi kubwa ya watu!
Mkuu wa mkoa wa Tabora Bw.Ludovick Mwananzila akipata maelezo kutoka kwa Dr.Anna Kichambati wa Redcross Tabora wakati wa sherehe za wiki ya usalama barabarani mkoani Tabora.
Mkuu wa mkoa wa Tabora Bw.Mwananzila akisalimiana na Afisa mfawidhi wa Sumatra mkoa wa Tabora Bw.Joseph Michael wakati wa wiki ya usalama barabarani mkoa wa Tabora.
Mmoja kati ya maafisa wa polisi kikosi cha usalama barabarani Tabora mjini akimuonesha mkuu wa mkoa wa Tabora Bw.Ludovick Mwananzila kifaa maalumu...
10 years ago
Michuzi13 Sep
SHAIRI: Ajali za barabarani
Ninalianza shairi, kwa majonzi ya dhahiri,Kwa kuwa tena si siri, ajali zimekithiri,Zaua kwa utitiri, hii sasa ni hatari,Ajali barabarani, ni hasara kwa taifa.
Nianze na madereva, kisha nimvae Kova,Unapokua dereva, tunahisi umeiva,Si mambo ya kujilevya, na kuua kina Eva,Ajali barabarani, ni hasara kwa taifa.
Umakini safarini, ndio nyenzo namba wani,Sheria barabarani, zifuate kwa makini,Sifa za vibarazani, hazina tija jamani!,Ajali barabarani, ni hasara kwa taifa.
Bosi...
10 years ago
Tanzania Daima09 Sep
Tuungane kudhibiti ajali za barabarani
TUMEKUWA tukiandika maoni kuitaka serikali kuchukua hatua kukomesha ajali za barabarani na tutaendelea kufanya hivyo hadi hapo tutakapoona hatua madhubuti zimechukuliwa kukabiliana na wimbi la ajali, ambazo kila mara zimepoteza...
9 years ago
Habarileo14 Dec
Elimu yapunguza ajali barabarani
JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limesema ajali za barabara zimepungua hadi 7,570 kwa kipindi cha Januari hadi Novemba mwaka huu ikilinganishwa na ajali 13,466 zilizotokea kwa kipindi kama hicho mwaka jana.
11 years ago
Habarileo23 Jan
Ajali barabarani yaua wanafunzi 5
SIKU tatu baada ya kutokea ajali mkoani Lindi na Singida zilizogharimu maisha ya Watanzania 27, wakazi wa Mtwara nao wameingia katika majonzi baada ya gari dogo kupamia wanafunzi wa Sekondari ya Mustafa Sabodo, waliokuwa kwenye mchakamchaka na kuua watano.
11 years ago
Uhuru Newspaper16 Jun
Vigogo wahusishwa ajali za barabarani
Na Mwandishi Wetu
BAADHI ya vigogo nchini wanadaiwa kukwamisha mchakato wa kuzuia matumizi ya mabasi chakavu ya abiria, ambapo huingilia kati pindi sheria inapotaka kuchukua mkondo wake.
Pia, baadhi wamekuwa wakilazimisha askari wa usalama barabarani kutojaribu kuyakamata mabasi hayo, hatua inayodaiwa kukwamisha utendaji kazi wa askari.
Kwa mujibu wa sheria, magari yote yaliyochakaa hayaruhusiwi kubeba abiria ili kupunguza ajali ambazo kwa kiasi kikubwa huchangiwa na uchakavu.
Mwanzoni mwa...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Ajali za barabarani zapungua 2013
IDADI ya ajali za barabarani na vifo, imepungua kutoka watu 157 mwaka 2012 hadi watu 123 mwaka jana mkoani hapa. Kwa mujibu wa takwimu za Jeshi la Polisi Mkoa wa...
10 years ago
Vijimambo