Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajali za barabarani zaongezeka Tabora, zauwa idadi kubwa ya watu!

USALAMA BRBRN.1

Mkuu wa mkoa wa Tabora Bw.Ludovick Mwananzila akipata maelezo kutoka kwa Dr.Anna Kichambati wa Redcross Tabora wakati wa sherehe za wiki ya usalama barabarani mkoani Tabora.

USALAMA BRBRN.2

Mkuu wa mkoa wa Tabora Bw.Mwananzila akisalimiana na Afisa mfawidhi wa Sumatra mkoa wa Tabora Bw.Joseph Michael wakati wa wiki ya usalama barabarani mkoa wa Tabora.

USALAMA BRBRN.3

Mmoja kati ya maafisa wa polisi kikosi cha usalama barabarani Tabora mjini akimuonesha mkuu wa mkoa wa Tabora Bw.Ludovick Mwananzila kifaa maalumu...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali za barabarani zaongezeka Iringa

TAKWIMU zinaonyesha kuwepo kwa ongezeko la ajali za barabarani mara saba zaidi zinazohusisha pikipiki Mkoa wa Iringa kati ya Januari 1 hadi Machi 31 ikilinganishwa na miezi kama hii mwaka...

 

10 years ago

CloudsFM

ajali yaua watu saba Tabora

Basi la kampuni ya Mohammed Trans limepata ajali mbaya Igunga ambapo watu saba wanadaiwa kupoteza maisha katika eneo la Makomero wilayani Igunga, mkoani Tabora.Inadaiwa kuwa mbali na kuua pia abiria wengi wamejeruhiwa baada ya basi hilo la Mohammed Trans kukatika 'steeering power' likaacha njia na kupinduka huku kukiwa na taarifa zingine kuwa ajali hiyo imetokea baada ya basi hilo kugonga shimo. Basi hilo limepinduka jana majira ya saa nane mchana, ambapo maiti na majeruhi wamepelekwa katika...

 

5 years ago

BBCSwahili

China na India: Kwanini hofu imerudi kati ya majeshi ya mataifa haya yenye idadi kubwa ya watu duniani

Majeshi ya China na India yamejikuta katika makabiliano makali kwenye eneo la Himalayas, ambao una uwezo wa kuongezeka zaidi wakati ambapo pande zote mbii zinajitahidi kuendeleza malego yake ya kimkakati.

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA NI NCHI YA SITA KWA KUWA NA IDADI KUBWA YA WATU WENYE UGONJWA WA KIFUA KIKUU BARANI AFRIKA

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
Utafiti unaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 30 ya vifo vya watu walioathirika na Ukimwi vinatokana na Ugomjwa wa Kifua Kukuu na inakadiriwa  kuwa tangu kuanza  kwa ugonjwa wa ukimwi, kati ya asilimia tano (5) hadi 10 ya watu wenye VVU wana ugonjwa wa kifua kikuu  na takribani ya asilimia 40 wanaouguwa  kifua kikuu  wana maambukizo ya VVU.
Hayo yamesemwa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Dk.Donan Mmbando wakati akitangaza maadhimisho ya siku...

 

10 years ago

Michuzi

WATU 16 WADAIWA KUPOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI MBAYA YA MABASI MAWILI WILAYANI SIKONGE MKOANI TABORA

Watu  zaidi ya 17 wanadaiwa kufariki dunia na wengine zaidi ya 50 kujeruhiwa  baada ya mabasi waliokuwa wakisafiria kugongana katka k ijiji  cha Mlogolo wilayani Sikonge mkoani Tabora.
Ajali hiyo imetokea leo hii jioni majira ya saa 11 jioni baada ya Basi la Kampuni ya Sabena lenye namba za usajiri T 110 ARV lililokuwa likitokea Mbeya kwenda  Mwanza kumegongana uso kwa uso na basi la AM Dreamline lenye namba za usajiri  T 803 ATN lililokuwa likitokea Mwanza kupitia Mpanda.
Ajali hiyo imetokea...

 

11 years ago

Habarileo

Idadi kubwa ya Watanzania ni watoto

IDADI kubwa ya watu nchini ni watoto wenye umri wa chini ya miaka 15 na vijana huku mikoa ya Simiyu, Rukwa na Geita ikitajwa kuwa zaidi ya nusu ya watu wake, ni watoto. Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dk Albina Chuwa alimweleza hayo Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana Ikulu wakati akimkabidhi vitabu na majedwali yenye matokeo na machapisho ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012.

 

10 years ago

Vijimambo

JIJI LA WATU WASIO LALA NEW YORK LIKIWA HALINA WATU BARABARANI WAKATI TUFANI ILIPOANZA KUANGUKA

Hapa ni Radio Cty New York jiji jeupe kila mtu ndani theluji iliyoambatana na upepo ilizima mbio mbio zote za sifa ya jiji la wasiyo lala mbona kila mtu alilala bila kupenda chezea mother nature wewe. 5 Avenue barabara nyeupe kama siyo New York vile Hali ilikuwa mbaya sana na kusababisha shughuli nyingi kusimama nje na ndani Jamaa akijaribu kupita huku na kule kuona kama atapata kakibarua ka kuzoa theluji vibarazani kwa watuKwa picha zaidi bofya soma zaidi


 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani