Ajali za magari zaua Tanga, Singida
 Watu watano wamekufa katika ajali mbili tofauti zilizotokea Mikoa ya Singida na Tanga.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi27 Sep
Ajali zaua watatu Tanga, Singida
11 years ago
Habarileo21 Jan
Ajali zaua watu 26 Singida, Lindi
WATU 26 wamekufa na wengine 26 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti za barabarani zilizotokea jana, Singida na Lindi. Ajali ya kwanza iliyoua watu 13 papo hapo na mmoja kujeruhiwa, ilitokea jana asubuhi, baada ya gari dogo la abiria aina ya Toyota Noah walilokuwa wakisafiria, kugongana uso kwa uso na lori la mizigo eneo la Isuna, barabara kuu ya Singida-Dodoma.
11 years ago
Habarileo31 Jul
Ajali zaua 19
JUMLA ya watu 19 wamekufa katika ajali mbili tofauti zilizotokea mkoa wa Dodoma na Arusha jana.
10 years ago
Mtanzania10 Apr
Ajali za mabasi zaua 10
AMINA OMARI NA OSCAR ASSENGA, HANDENI
WATU 10 wamefariki dunia papo hapo na wengine 35 wamejeruhiwa baada ya mabasi mawili ya abiria na gari dogo kugongana.
Kati ya majeruhi hao, saba hali zao ni mbaya na walikimbizwa Hospitali ya Wilaya ya Handeni kutoka Kituo cha Afya Mkata walikokuwa wakitibiwa.
Ajali hiyo ilitokea jana mchana katika Kijiji cha Mbweni kilichopo Mkata, Wilaya ya Handeni, Mkoa wa Tanga.
Akizungumza na MTANZANIA kwa simu jana, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Juma...
10 years ago
Habarileo06 Sep
Ajali mbili zaua watu 47
AJALI za barabarani zimeendelea kugharimu uhai wa Watanzania, baada ya jana watu 44 kufa katika ajali mbili zilizotokea katika mikoa ya Mara na Rukwa. Kati yao, 36 wamekufa katika ajali iliyohusisha mabasi mawili katika eneo la Sabasaba, wilayani Butiama katika mkoa wa Mara wakati wengine wanane wamekufa katika ajali ya lori aina ya Mitsubishi Fuso.
10 years ago
Habarileo17 Dec
Ajali zaua 8 Tabora, Morogoro
WATU wanane wamekufa papo hapo, huku wengine 50 wakijeruhiwa vibaya katika ajali mbili tofauti zilizotokea Tabora na Morogoro jana.
11 years ago
Habarileo20 Apr
Ajali zaua watu saba
WATU saba wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali za barabarani na majini wilayani Bunda Mkoa wa Mara.
10 years ago
Habarileo19 Feb
Ajali za kemikali zaua watu 14
WAKALA wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), umesema mwaka jana kumetokea matukio ya ajali za kemikali 11 zilizosababisha vifo vya watu zaidi ya 14 na uharibifu wa tani zaidi ya 250 za kemikali.
10 years ago
Habarileo26 Nov
Ajali za pikipiki zaua 5,100
JUMLA ya ajali 32,404 za pikipiki maarufu kama bodaboda zimetokea kati ya mwaka 2007 – 2014 na kusababisha vifo vya watu 5,100, Bunge limeelezwa.