Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Al Shabab washambulia tena Garisa

Sasa imethibitishwa kwamba shambulio lililofanywa na wanamgambo wa Alshaabab katika kijiji cha Yumbis huko Garisa kaskazini mwa Kenya mapema jana limewajeruhi maafisa usalama kadhaa huku mmoja wao akipoteza uhai.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

SIMULIZI YA AL- SHABAB: WASHAMBULIA BUNGE LA SOMALIA

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Mpenzi mfuatiliaji wangu, wiki iliyopita tuliona jinsi ambavyo mapambano kati ya Al-Shabaab na majeshi ya Serikali ya Somalia yakisaidiwa na yale ya kigeni yalivyokuwa yakipambana. Licha ya vipigo vikali kutoka kwa majeshi ya Afrika, wapiganaji hao walishambulia Kambi ya Wakimbizi ya Daadab iliyopo kwenye mpaka wa Somalia na Kenya ambayo inahesabiwa kuwa moja ya kambi kubwa zaidi ya wakimbizi duniani....

 

10 years ago

Vijimambo

Al-Shabab washambulia chuo kikuu cha Garissa Kenya

Washambulizi wa Al-Shabab wameshambulia chuo kikuu cha Garissa, kaskazini mashariki ya Kenya na kusababisha vifo vya takriban watu 70 kulingana namaafisa wa serikali na zaidi ya 70 kujeruhiwa.Kifaru cha jeshi la Kenya kikiwasili karibu na chuo kikuu cha Garissa,Garissa, Kenya, April 2, 2015.Polisi wa Kenya wakikaribia majengo ya chuo cha Garissa kwa uangalifu mkubwaWananchi wa Garissa wakisubiri kuchangia damu katika hospitali ya Garissa ambako wengi waliojeruhiwa wamelazwaKifaru cha jeshi...

 

11 years ago

BBCSwahili

Al Shabaab washambulia Mogadishu

Wamelipua mabomu yaliyokuwa yametegwa ndani ya gari moja nje ya hoteli hoteli na kuwajeruhi wanne

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram washambulia Nigeria

Wapiganaji wa kundi la Boko Haram, wanashukiwa kuhusika katika shambulizi jingine huko mji Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.

 

10 years ago

BBCSwahili

Houthi washambulia Saudi Arabia

Saudi Arabia inasema kuwa imezuia makombora yaliyofyatuliwa kutoka nchini Yemen kwenda ardhi yake na waasi wa Houthi

 

11 years ago

BBCSwahili

Boko Haram washambulia Cameroon

Watu wanaodaiwa kuwa ni kundi la Boko Haramu wameshambulia raia na wanajeshi kaskazini mwa Cameroon.

 

11 years ago

BBCSwahili

Al Shabaab washambulia hoteli ya jeshi

Wapiganaji hao wameshambulia hoteli moja muhimu katika eneo la Kati mwa Somalia ambalo wanamgambo hao walipoteza udhibiti wiki jana

 

11 years ago

BBCSwahili

AL Shabaab washambulia ikulu Somalia

Serikali ya Somalia imedhibiti ikulu mjini Mogadishu na kuwaua wanamgambo wa Al shabaab waliovamia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani