Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Alala barabarani kuchangisha fedha

Mwanafunzi huyo amekuwa akilala barabarani ili kuchangisha fedha za kumsadia mtu aliyemuokoa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Azunguka duniani kuchangisha fedha za elimu

MTANZANIA mwenye ulemavu, Elvis Munisi anazunguka Marekani, Ulaya na Afrika kwa kutumia baiskeli akichangisha fedha za kuwezesha vijana wa Arusha na Kilimanjaro kupata elimu. Elvis (26), anasema lengo lake ni kuchangisha Sh milioni 140 ili kukamilisha ndoto yake hiyo na sasa ameweka kambi nchini Liberia.

 

10 years ago

GPL

WANAWAKE WAPIGA PICHA ZA UTUPU KUCHANGISHA FEDHA UINGEREZA

Wanawake wakiwa katika pozi kwa ajili ya kuchangiha fedha za East Anglian Air Ambulance. ...Wakipozi na vifaa vya kuendeshea farasi. KUNDI la wanawake wenye umri kati ya miaka 19 mpaka…

 

10 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi 21 wa kampuni ya ACACIA wapanda Mlima Kilimanjaro kuchangisha fedha za kusaidia sekta ya elimu

Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya kuchimba Dhahabu ya Acacia,wanafamilia pamoja na marafiki wa kampuni hiyo wakishuka kutoka katika gari tayari kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro. Afisa Mtendaji mkuu wa Kampuni ya Acacia, Brad Gordon akitelemka kuanza changamoto ya kupanda mlima Kilimanjaro kama njia ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia sekta ya elimu nchini. Meneja wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Kampuni ya Acacia, Necta .P.Foya akifunga vizuri mizigo...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA BENKI YA NBC WAJIMWAGIA MAJI BARIDI KUCHANGISHA FEDHA KUPAMBANA NA UGONJWA WA FISTULA

Mkuu wa Rasilimali Watu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Flora Lupembe (kulia) akimwagiwa maji baridi na Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Rukia Mtingwa katika hafla ya kumwagiana maji baridi iitwayo ‘Ice Bucket Challenge’ yenye makusudi ya kuchangisha fedha kwa ajili kusaidia wanawake wanaosumbuliwa na ugonjwa wa fistula. Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam. Kaimu Mhazini Mkuu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Ivan Tarimo (kushoto) akimwagiwa maji baridi na...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL MGENI RASMI KWENYE HAFLA YA KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA MISITU YA MILIMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akizungumza kwenye Hafla ya kuchangisha Fedha za kuwezesha Uhifadhi wa misitu ya milima ya Toa la mashariki kwenye ahotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilali akizindua Tovuti ya (EAMCEF)kwajili ya kuwezesha kuchangia kwa njia ya mtandao kwenye,Hafla ya kuchangisha Fedha za Uhifadhi wa Misitu ya Milima ya Toa ashariki iliyofanyika kwenye hotel ya Hyatt...

 

5 years ago

Michuzi

ASASI ZA KIRAIA ZAANZISHA KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA KUNUNUA VIFAA VYA WAHUDUMU WA AFYA KUJIKINGA NA CORONA


Charles James, Michuzi TV

Katika kuunga mkono juhudi za serikali kwenye mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona, Asasi za Kiraia zimeanzisha kampeni ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia mapambano hayo.

Kampeni hiyo imelenga kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwanunulia vifaa vya kujikinga na ugonjwa wa Corona wahudumu wa afya nchini.

Akizungumzia kampeni hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa AZAKI, Francis Kiwanga amesema wao kama Asasi za Kiraia wameguswa na mapambano ya ugonjwa huo hivyo wakaona ni...

 

10 years ago

Vijimambo

WAFANYAKAZI 21 WA KAMPUNI YA KUCHIMBA DHAHABU YA ACACIA WAPANDA MLIMA KILIMANJARO KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU.

Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya kuchimba Dhahabu ya Acacia,wanafamilia pamoja na marafiki wa kampuni hiyo wakishuka kutoka katika gari tayari kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro .Afisa Mtendaji mkuu wa Kampuni ya Acacia,Brad Gordon akitelemka kuanza changamoto ya kupanda mlima Kilimanjaro kama njia ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia sekta ya elimu nchini.
Meneja wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Kampuni ya Acacia,Necta .P.Foya akifunga vizuri mizigo yake...

 

10 years ago

Michuzi

TIMU YA WATU 39 WAPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA LENGO LA KUCHANGISHA FEDHA ZA KUSAIDIA KUNUNUA VITAMBAA MAALUMU VYA WASICHANA

 Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa ,Allan Kijazi(wasita toka kushoto waliosimama)akiwa kwenye picha ya pamoja na Timu ya watu 39 wakiwemo Wakurugenzi wa kampuni ya Vodacom na kampuni mbalimbali za nchini Afrika Kusini kabla ya kuanza zoezi la kupanda mlima Kilimanjaro kwa lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia kununua vitambaa maalumu(Pedi) vya kuwahifadhi wasichana walioko mashuleni wakati wa hedhi. Ofisa mkuu wa Uhusiano wa Nje wa Vodacom, Afrika Kusini,Maya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani