Azunguka duniani kuchangisha fedha za elimu
MTANZANIA mwenye ulemavu, Elvis Munisi anazunguka Marekani, Ulaya na Afrika kwa kutumia baiskeli akichangisha fedha za kuwezesha vijana wa Arusha na Kilimanjaro kupata elimu. Elvis (26), anasema lengo lake ni kuchangisha Sh milioni 140 ili kukamilisha ndoto yake hiyo na sasa ameweka kambi nchini Liberia.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
Wafanyakazi 21 wa kampuni ya ACACIA wapanda Mlima Kilimanjaro kuchangisha fedha za kusaidia sekta ya elimu
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya kuchimba Dhahabu ya Acacia,wanafamilia pamoja na marafiki wa kampuni hiyo wakishuka kutoka katika gari tayari kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro.
Afisa Mtendaji mkuu wa Kampuni ya Acacia, Brad Gordon akitelemka kuanza changamoto ya kupanda mlima Kilimanjaro kama njia ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia sekta ya elimu nchini.
Meneja wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Kampuni ya Acacia, Necta .P.Foya akifunga vizuri mizigo...
10 years ago
VijimamboWAFANYAKAZI 21 WA KAMPUNI YA KUCHIMBA DHAHABU YA ACACIA WAPANDA MLIMA KILIMANJARO KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya kuchimba Dhahabu ya Acacia,wanafamilia pamoja na marafiki wa kampuni hiyo wakishuka kutoka katika gari tayari kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro .Afisa Mtendaji mkuu wa Kampuni ya Acacia,Brad Gordon akitelemka kuanza changamoto ya kupanda mlima Kilimanjaro kama njia ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia sekta ya elimu nchini.
Meneja wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Kampuni ya Acacia,Necta .P.Foya akifunga vizuri mizigo yake...
Meneja wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Kampuni ya Acacia,Necta .P.Foya akifunga vizuri mizigo yake...
10 years ago
MichuziWafanyakazi wa NBC waadhimisha Siku ya Moyo Duniani kuchangisha fedha kusaidia vijana na watoto wanaosumbuliwa na magonjwa ya moyo
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wakianza matembezi ya hisani ya takribani Kilomita 10 jijini Dar es Salaam jana ikiwa ni moja ya matukio ya benki hiyo kudhimisha Siku ya Moyo Duniani ambapo kiasi cha pesa watakachochangisha kitapelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kusaidia watoto na vijana wanaosumbuliwa na matatizo ya ugonjwa wa moyo. Siku ya Moyo Duniani huadhimishwa kimataifa Septemba 29 kila mwaka. Hapa baadhi ya wafanyakazi hao wakipita katika...
5 years ago
MichuziRC Wangabo azunguka vijijini kutoa elimu ya Ugonjwa wa Corona
Katika kuhakikisha wananchi wa Mkoa wa Rukwa wanafahamu juu ya namna ya kujikinga na Ugonjwa hatari wa Corona, Mkuu wa Mkoa huo Mh. Joachim Wangabo ameanza kuzunguka katika vijiji vya Bonde la ziwa Rukwa katika Wilaya ya Sumbawanga na kutoa elimu juu ya tahadhari ya ugonjwa huo kwa wananchi wanaoishi katika maeneo hayo ikiwa ni hatua ya kuwataka wananchi hao kuachana na tabia, mila na desturi zitakazochangia kuenea kwa ugonjwa huo endapo utaingia nchini.
Wakati akielezea miongoni mwa mila...
Wakati akielezea miongoni mwa mila...
10 years ago
BBCSwahili18 Dec
Alala barabarani kuchangisha fedha
Mwanafunzi huyo amekuwa akilala barabarani ili kuchangisha fedha za kumsadia mtu aliyemuokoa.
10 years ago
GPLWANAWAKE WAPIGA PICHA ZA UTUPU KUCHANGISHA FEDHA UINGEREZA
Wanawake wakiwa katika pozi kwa ajili ya kuchangiha fedha za East Anglian Air Ambulance. ...Wakipozi na vifaa vya kuendeshea farasi. KUNDI la wanawake wenye umri kati ya miaka 19 mpaka…
10 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA BENKI YA NBC WAJIMWAGIA MAJI BARIDI KUCHANGISHA FEDHA KUPAMBANA NA UGONJWA WA FISTULA
Mkuu wa Rasilimali Watu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Flora Lupembe (kulia) akimwagiwa maji baridi na Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Rukia Mtingwa katika hafla ya kumwagiana maji baridi iitwayo ‘Ice Bucket Challenge’ yenye makusudi ya kuchangisha fedha kwa ajili kusaidia wanawake wanaosumbuliwa na ugonjwa wa fistula. Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam. Kaimu Mhazini Mkuu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Ivan Tarimo (kushoto) akimwagiwa maji baridi na...
10 years ago
Michuzi29 Aug
11 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT BILAL MGENI RASMI KWENYE HAFLA YA KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA MISITU YA MILIMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akizungumza kwenye Hafla ya kuchangisha Fedha za kuwezesha Uhifadhi wa misitu ya milima ya Toa la mashariki kwenye ahotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilali akizindua Tovuti ya (EAMCEF)kwajili ya kuwezesha kuchangia kwa njia ya mtandao kwenye,Hafla ya kuchangisha Fedha za Uhifadhi wa Misitu ya Milima ya Toa ashariki iliyofanyika kwenye hotel ya Hyatt...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania