Alex Msama: Maandalizi ya uzinduzi wa albam ya Bonny Mwaiteje yamekamilika
Mkurugenzi wa Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu Uzinduzi wa albam ya muimbaji wa nyimbo za injili Bonny Mwaiteje utakaofanyika jumapili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, uzinduzi huo utashirikisha mwimbaji wa nyimbo za kutoka Zambia Ephraim Sekereti Faustine Munishi pia atashiriki kwenye uzinduzi huo na waimbaji wengine wengi kutoka hapa nchini.
Fedha zitakazopatikana katika uzinduzi huo zitanunua baiskeli kwa ajili ya kuwapatia...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo31 Jul
ALEX MSAMA:MAANDALIZI YA UZINDUZI WA ALBAM YA BONNY MWAITEJE YAMEKAMILIKA
![????????????????????????????????????](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/1106.jpg)
10 years ago
VijimamboUZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA WAZAZI NIPENDENI NI KESHO VIWANJA VYA MWEMBE YANGA JIJINI DAR ES SALAAM MAANDALIZI YAMEKAMILIKA WANA MUZIKI LULUKI KUTOA BURUDANI WANDUGU SAIDIA TUTANI UZINDUZI RASMI NI KESHO
10 years ago
Dewji Blog03 Aug
Bonny Mwaiteje aitikisa Diamond Jubilee
Mwimbaji nguli wa muziki wa injili Bonny Mwaitege akiimba katika uzinduzi wa albam zake kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana, uzinduzi ambao ulihudhuriwa na maelefu ya wapenzi wa muziki wa ijini akishirikiana na waimbaji mbalimbali wa muziki huo ikiwa ni pamoja na baadhi ya kwaya kutoka katika baadhi ya makanisa ya jijini Dar es salaam, Bonny Mwaiteje alikonga nyoyo za mashabiki wake kwa ikwango kikubwa huku akiwa amevalia vazi la Kingigeria wakati akiwa jukwaani,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj1huPN07vqRclcIpeV23ksyTBxYf2MF9VV4XVcBg3bgcSFQaCQJJXvNLfjk7DCKjdFrw3jwL8D33sENaSzyHw-l/BREAKINGNEWS.gif)
ALEX MSAMA APATA AJALI
11 years ago
Michuzi14 Apr
ALEX MSAMA ANAENDELEA VIZURI NA MATIBABU
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/04/118.jpg)
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/04/27.jpg)
MKURUGENZI ALEX MSAMA ANAENDELEA VIZURI
11 years ago
Tanzania Daima12 Apr
Alex Msama apata ajali, aporwa mil 20/-
MFANYABIASHARA Alex Msama amenusurika kifo baada ya kupata ajali mbaya ya gari. Msama ambaye ni maarufu kwa kuandaa Tamasha la Pasaka kila mwaka, amepata ajali hiyo jana majira ya saa...