Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Algeria fainali Kombe la Afrika 2015

Timu ya Algeria ndio timu ya kwanza kujikatia tikiti ya kushiriki kombe la Afrika Januari 2015baada ya kuinyuka Malawi 3-0.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

TANZANIA STARS UNITED BARA NDIO MABINGWA WA KOMBE LA TAMASHA 2015 LA AFRIKA MASHARIKI YAIFUNGA RWANDA 5-1 NA KUIFUNGA ZANZIBAR 4-0 MECHI YA FAINALI

Wachezaji wa timu ya Tanzania Stars United Bara  wakifurahia kikombe cha utamaduni walichoshinda leo katika mashindao ya Tamasha 2015 yaliyoshirikisha timu 4, Kenya, Rwanda, Zanzibar na Tanzania Stars United Bara. Maratibu wa mashindano hayo Kaka DC (kushoto akiongea na akiwaweka sawa marefa toka Malawi.Manahodha wa timu ya Tanzania Stars United Bara na Rwanda wakiwa katika picha ya pamoja na marefa katika mechi ya kwanza ambayo Tanzania Stars United Bara waliibamiza Rwanda mabao 5-1Kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mechi za kufuzu fainali za kombe Afrika

Mechi za kufuzu tiketi ya kushiriki michuano ya Kombe la Afrika zaendelea

 

10 years ago

Michuzi

TIMU YA MUCOBA FC MABINGWA WA FAINALI YA KOMBE LA MUUNGANO MUFINDI 2015,MRATIBU ATANGAZA KUSTAAFU RASMI

Mkuu  wa  wilaya ya Mufindi Mboni Mhita katikati  akiwa katika picha ya pamoja na   mabingwa wa mashindano ya  kombe la Muungano Mufindi timu ya Mucoba Fc ,wa kwanza kulia ni mratibu wa mashindano hayo aliyestaafu rasmi Daud Yassin na mdau mkubwa wa  soka mkoa wa Iringa Feisal AsasMkuu wa wilaya ya  Mufindi Mboni Mhita  akikabidhi kombe kwa mabingwa  timu ya MUcoba FC

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchambuzi wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2015

Wanajadili makundi yote na vile vile utabiri wao ingawa kwa sasa utabiri utakuwa wa siri hadi mwisho wa michuano hiyo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ratiba kutatiza kombe la Afrika 2015

Vilabu havitashurutishwa kuwaruhusu wachezaji wao kuondoka kushiriki mechi za kufuzu 2015

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani