ALI KIBA KUMTAMBULISHA MSANII MPYA CHINI YA KINGS MUSIC RECORDS
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
Mkurugenzi wa Lebo ya Kings Music Records Ali Saleh Kiba amewataka mashabiki wa muziki kukaa tayari kumpokea msanii wake mpya Tommy Flavour.
Ni takribani siku tatu zimepita toka msanii huyo kupoteza wasanii wake wawili Cheedy na Killy tz walioamua kuondoka kwenye lebo ya Kings Music Records.
Akiandika katika mtandao wake wa Kijamii, Ali Kiba amesema kuwa Ijumaa hii atamtambulisha msanii mpya chini ya lebo ya Kings Music Records na kuwataka mashabiki...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies17 Aug
Jokate Amtambulisha Ali Kiba Apigwa Chini Kwao
Imevuja! Gumzo la ndoa ya staa mwenye jina kubwa Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na Mbongo-Fleva Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ inadaiwa kupigwa zengwe kama ilivyowahi kutokea kwa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kufuatia madai ya mwanadada huyo kumtambulisha jamaa huyo kwao kisha kukataliwa.
MINONG’ONO
Habari kutoka chanzo cha kuaminika ambacho ni mtu wa karibu wa wawili hao, tukio hilo lilijiri hivi karibuni ambapo wawili hao walihudhuria kwenye harusi ya dada wa Jokate hivyo kuibua...
10 years ago
GPLMSANII ADAI KUTOA MIMBA YA ALI KIBA
10 years ago
Bongo527 Feb
New Music: Ali Kiba — Chekecha Cheketua
9 years ago
Africanjam.ComNEW MUSIC: ALI KIBA & CHRISTIAN BELLA - NAGHARAMIA (Download)
Africanjam is website that was launched in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...
9 years ago
Vijimambo11 years ago
GPLALICHOKISEMA LULU BAADA YA ALI KIBA KUACHIA NYIMBO MPYA
10 years ago
CloudsFM30 Jun