Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALI KIBA: NITAMKALISHA YEMI ALADE TAIFA

Ally Saleh ‘Ali Kiba’ MFALME wao Bongo, Ally Saleh ‘Ali Kiba’ amefunguka kuwa ataiandika historia ya aina yake kwa kumuonesha mkali wa songi la Johnny, Yemi Alade kutoka Nigeria jinsi gani muziki unatakiwa kuimbwa na kuchezwa. Mpango mzima utakuwa ni Agosti 8, mwaka huu wakati Tamasha la Usiku wa Matumaini litakapokuwa likichukua nafasi katika Uwanja wa Taifa jijini Dar ambapo Kiba pamoja na listi kibao...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI... YEMI ALADE KUMSAKA JOHNNY UWANJA WA TAIFA

Na Nassor Gallu
MOSHI wa Burudani utafuka Agosti 8, mwaka huu pale tamasha kubwa linalojulikana kama Usiku wa Matumaini 2014 (Night of Hope) litakapomshusha mkali wa ngoma ya Johnny inayobamba katika redio na televisheni, Yemi Alade kutoka Nigeria. Katika tamasha hilo ambalo limekuwa likiwaunganisha Watanzania na kuchangia masuala ya elimu kupitia mapato ya mlangoni, mkali huyo kutoka Nigeria amepania kukata kiu ya burudani kwa...

 

11 years ago

GPL

SHILOLE: TUKUTANE UWANJA WA TAIFA MUONE NINAVYOCHUANA NA YEMI ALADE

Staa wa filamu na muziki, Zuwena Mohammed 'Shilole' amewataka mashabiki wake kuhudhuria kwa wingi katika Tamasha la Usiku wa Matumaini Agosti 8, 2014 ili waone atakavyochuana na staa mwenzake kutoka Nigeria, Yemi Alade!

 

11 years ago

GPL

9 years ago

Bongo5

Music: Yemi Alade Ft. DJ Arafat – Do As I Do

yemi

Mwanamuziki kutoka Nigeria, Yemi Alade amerudi na single mpya kutoka kwenye album yake,”Mama Africa” mpya inayotegemea kuwa mtaani hivi karibuni. Wimbo unaitwa “Do As I Do” wimbo huu amemshirikisha staa kutoka Ivory Coast , DJ Arafat. Mtayarishaji wa wimbo huu ni Selebobo (on the beat).

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka...

 

9 years ago

Global Publishers

Muonekano mpya wa Yemi Alade

Yemi-Alade-by-Kelechi-Amadiobi-3-600x600 Yemi-Alade-by-Kelechi-Amadiobi-4-600x600 Yemi-Alade-by-Kelechi-Amadiobi-600x600

STAA wa muziki nchini Nigeria, Yemi Alade ameachia picha zake mpya zinazoonyesha muonekano wake wa sasa.

Picha hizo zimepigwa na mpiga picha Kelechi Amadi-Obi.

 

11 years ago

GPL

11 years ago

GPL

10 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani