Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Alice: Nimemsamehe mtu huyu

Uchungu wa kupoteza mtoto hauwezi kufananishwa na chochote duniani. Lakini uchungu wa kupoteza kiungo cha mwili wako, nao ni wa kina na hausahauliki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UKIKUTANA NA MTU HUYU, KAA MBALI!

Stori: MWANDISHI WETU
Kuna mtu mmoja almaarufu kwa jina la Kamanda au Kachero wa OFM (Oparesheni Fichua Maovu) ya Global Publishers ambaye unashauriwa ukikutana naye kaa mbali, pata undani wake. Kamanda au Kachero wa OFM (Oparesheni Fichua Maovu). Jamaa huyo hatari amedhamiria kuibadili Tanzania kimaadili kwa kuibua na kufichua uovu katika jamii.
Tayari amefanya matukio mengi makubwa ya kufichua uovu ndani na nje ya Jiji la...

 

5 years ago

BBCSwahili

Shiekh Mohammed Al Maktoum: Je mtawala huyu wa Dubai ni mtu wa aina gani?

Bilionea huyo ameimarisha milki hiyo ya kiarabu na kuifanya kituo kikiuu cha Biashara na utalii.

 

10 years ago

GPL

MPENZI WA FACEBOOK ANAYEDAIWA KUMNYONGA MKE WA MTU GESTI DAR NI HUYU!

Stori: Makongoro Oging’ na Mayasa Mariwata
MAPYA tena! Yale mauaji ya mke wa mtu, Ashura Maulid yaliyotokea kwa kunyongwa gesti na mwanaume anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake wa kwenye mtandao wa kijamii Facebook, Charles Raphael (pichani), sasa Uwazi limepata picha yake na mengine yameibuka. Charles Raphael anayedaiwa kumnyonga mke wa mtu gesti. MTUHUMIWA WA MAUAJI
Taarifa kutoka chanzo makini zimeeleza kuwa, mwanaume...

 

9 years ago

Bongo5

Rekodi mpya ya Youtube yafikiwa, huyu ni mtu wa kwanza kufikisha views bilioni 10 za video zake!

PewDiePie kwa wale ambao hawamfahamu ndio mtu mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Youtube. Hadi sasa PewDiePie ana zaidi ya subscribers milioni 39. Weekend hii mtu huyo alifikisha views bilioni 10 za video zake zote kwa pamoja, kitu ambacho kimevunja rekodi ya mtandao wa Youtube kwakuwa imevuka kaunta yake (kikomo cha views). Hii si […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Tahadhari kwa wanawake kwa mtu huyu!

DSCN9777 (1)

Pichani Malaria akiwa amejipumzisha kwenye kibaraza cha maeneo ya ofisi za Idara ya Habari Maelezo kama alivyokutwa na mpiga picha wetu.

Na Andrew Chale, modewjiblog

Hali ya sintofahamu juu ya mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la ‘Malaria’,  imezidi kuwa kero kwa baadhi ya watu ikiwemo wanawake kwa mtu huyo kuwafanyia vitendo vya kidhalilishaji  kwa kuwashika sehemu  nyeti, na baada ya hapo kukimbia ama humtisha kwa lengo la kutaka kumpiga aliyemfanyia kitendo hicho.

Kwa siku kadhaa,...

 

10 years ago

The Argus

Alice takes to the skies


Alice takes to the skies
The Argus
A TEENAGER is halfway to her fundraising target to take her place on the plane to Tanzania. Farlington School's Alice Tarplee is working hard to achieve her fundraising total of £2,600, which will enable her to take part in a charity expedition to Tanzania with ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani