Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tahadhari kwa wanawake kwa mtu huyu!

DSCN9777 (1)

Pichani Malaria akiwa amejipumzisha kwenye kibaraza cha maeneo ya ofisi za Idara ya Habari Maelezo kama alivyokutwa na mpiga picha wetu.

Na Andrew Chale, modewjiblog

Hali ya sintofahamu juu ya mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la ‘Malaria’,  imezidi kuwa kero kwa baadhi ya watu ikiwemo wanawake kwa mtu huyo kuwafanyia vitendo vya kidhalilishaji  kwa kuwashika sehemu  nyeti, na baada ya hapo kukimbia ama humtisha kwa lengo la kutaka kumpiga aliyemfanyia kitendo hicho.

Kwa siku kadhaa,...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Tahadhari kwa madereva kona za Iyovi ni kali sana, endesha kwa umakini kuepusha ajali

 Wewe  ni  dereva  wa basi la abiria ama  gari  binafsi ?hebu  chukua  hatua ya  kupunguza ajali  leo kwa kujihadhari na  kona  hizi na Iyovi na Kitonga na  kona  nyingine kali kama  hizi nchini kwani maisha  yako ni  dhamani  kubwa na uhai  wake bado tunautamani.

 Vema  kuheshimu alama  za barabarani na  kuacha mbwembwe  uwapo  barabarani katika kona kali kama hizi.

 Katika kona kama hizi zingatia  alama za usalama barabarani usiwe na haraka ya kulipita gari la mbele.

Kulipita gari la ...

 

9 years ago

Mwananchi

Wapiga kampeni mtu kwa mtu, nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa

Kampeni za ubunge Jimbo la Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro, zimeingia katika hatua nyingine baada ya wagombea kuanza kujinadi nyumba kwa nyumba, mtu kwa mtu, mtaa kwa mtaa kwa lengo la kuhakikisha wanashinda Oktoba 25.

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MKIMBIZI KUTOKA BURUNDI AFARIKI MKOANI KIGOMA KWA UGONJWA USIOJULIKANA, AZIKWA KWA TAHADHARI KUBWA

Habari na picha na Editha Karlo, wa Globu ya Jamii Kigoma

MTU mmoja ambaye ni raia kutoka nchi ya Burundi amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Kigoma  kwa ugonjwa usiojulikana. 
Mgonjwa huyo amezikwa leo jioni  kwa tahadhari zote zihusuzo magonjwa ya kuambukizwa.
Nguo, vitanda, mashuka na vitu vyake vyote alivyokuwa akitumia wakati wa uhai wake vimechomwa moto mara tu baada ya mwili wake kuzikwa eneo la Masanga nje kidogo ya mji wa Kigoma.
(Picha zinaonesha hatua mbalimbali toka...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mona Lisa: Kwa nini mwanamke huyu anajulikana kwa 'kupigwa busu' nyingi zaidi duniani

Wakati fulani katika karne ya 19, mwili wa msichana mdogo ambaye alikuwa amekufa maji uliokolewa katika mto Seine.

 

9 years ago

StarTV

Mtu mmoja afariki kwa kukatwa kwa kitu chenye ncha kali

Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Mwikwabe Mwita mkazi wa Kibasa  wilaya ya tarime mkoani Mara amefariki dunia baada ya kukatwa na kitu chenye ncha kali kichwani na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi baada ya kuvamia duka ambalo marehemu alikuwa akifanya kazi ya ulinzi nyakati za usiku

 Akiongea kwa masikitika makubwa ya kuuawa kwa mlinzi wa duka lake na kuporwa mali zote zilizo kuwemo ndani ya duka hilo mmiliki wa duka, Chacha marwa  analiomba jeshi la polisi kanda maalum ya Tarime na...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MTU MMOJA AJINYONGA KWA RAFIKI YAKE KWA KUTUMIA KANGA

Na John Gagarini, Kibaha 
 KIJANA Victor Wilfred (29) mkazi wa Keko jijini Dar es Salaam amekufa kwa kujinyonga kwa kutumia kanga aliyoifunga kwenye dirisha la chumba cha rafiki yake.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani Pwani Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Ulrich Matei alisema kuwa marehemu alifika kwa rafiki yake hapa Kibaha kwa lengo la kutafutiwa kazi.
Kamanda Matei amesema kuwa tukio hilo lilitokea leo Aprili 30 mwaka huu majira ya saa 5...

 

11 years ago

Mwananchi

Alice: Nimemsamehe mtu huyu

Uchungu wa kupoteza mtoto hauwezi kufananishwa na chochote duniani. Lakini uchungu wa kupoteza kiungo cha mwili wako, nao ni wa kina na hausahauliki.

 

10 years ago

Bongo5

Muigizaji wa Bollywood Salman Khan ahukumiwa kifungo cha miaka 5 jela, kwa kumgonga na kumuua mtu kwa gari

Mahakama ya nchini India imemhukumu muigizaji wa Bollywood, Salman Khan kifungo cha miaka mitano jela kwa kumgonga na kumuua mtu asiye na makazi mwaka 2002 mjini Mumbai. Mtu huyo alikuwa mmoja wa watu wengine watano waliogongwa kwenye tukio hilo. Muigizaji huyo alikuwa akikabiliwa na kosa la kuua bila kukusudia. Khan alikuwa akijitetea kuwa ni dereva […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani