Wapiga kampeni mtu kwa mtu, nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa
Kampeni za ubunge Jimbo la Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro, zimeingia katika hatua nyingine baada ya wagombea kuanza kujinadi nyumba kwa nyumba, mtu kwa mtu, mtaa kwa mtaa kwa lengo la kuhakikisha wanashinda Oktoba 25.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog05 Dec
PSPF waanzisha kampeni mpya ya mtaa kwa mtaa kuhamasisha wanachama wake!
Balozi wa mfuko wa pensheni wa PSPF Mrisho Mpoto Maalufu kama (Mjomba) vyombo vya habari kuhusu kampeni ya mtaa kwa mtaa iliyofanyika jijini Dar kushoto ni Afisa wa mfuko wa pensheni wa PSPF Hadji Hamis Jamadary.
Na Mwandishi Wetu
Mfuko wa hifadhi za jamii wa pensheni (PSPF) kwa kuwajali watanzania waanzisha kampeni ya mtaa kwa mtaa ili kuweza kuungana na wananchi wa maeneo mbalimbali kwa kuwapa elimu inayohusu mfuko huo wa pesheni kampeni hizo zimeanzia jijini Dar es salaam kwa...
9 years ago
Michuzi9 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzi9 years ago
MichuziMPIGANAJI WA MTAA KWA MTAA BLOG,MR. PENGO WA MBEYA ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA
Kutoka shoto ni Mpiganaji Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo akimlisha Keki Mama yake Mzazi Stumai Maneno kama heshima katika Hafla ya Sherehe ya kuzaliwa kwa mwana Libeneke Fadhiri Atick kutimiza Miaka kadhaa iliyo fanyika nyumbani kwao huko jijini mbeya jana Tar.07-09-2015.Kutoka kulia ni Tecla Rashid na Fadhiri Atiki akizungumza jambo katika Hafla hiyo....Kutoka Shoto ni Mrs.Lweja akimpongeza Mwanalibeneke Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo Katika HafLa hiyo ya kusherehekea Siku ya Kuzaliwa kwa...
10 years ago
MichuziKAMERA YA MTAA KWA MTAA NA TASWIRA ZA AJALI YA KUTATANISHA
Katika pita pita zetu za Mtaa kwa Mtaa,tuliibuka maeneo ya Tabata Matumbi jijini Dar es Salaam na kukutana na mziki huu mnene na wakutatanisha uliozikutanisha gari mbili,ukiangaliwa kwa makini utabaini kuwa hili gari kubwa lenye nambari za Usajili T 544 CKG mali ya Kampuni ya Azania lilikuwa lipo kwenye njia yake halali kabisa kuelekea Buguruni na huyo mwenye Gari ndogo lenye nambari za Usajili T806 AVT anaonekana akielekea Ubungo lakini katika njia ambayo haimruhusu yeye...
10 years ago
Michuzi22 Nov
10 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzi27 Oct
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania