Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALICHOKISEMA DIAMOND KUHUSIANA NA HABARI YA KUWANYANYASA WASANII WENZAKE MOMBASA

Nimesikitishwa Sana na habari zilizoandikwa na moja ya chombo cha habari, kuwa eti nliwanyanyasa wasanii wenzangu Nyota ndogo na Susumila, kwa kuwafukuza kwenye VIP lounge na sijui eti niliwazuia wasitumie maji ya chupa hivi inaingia akilini kweli hii!!!?? Ningependa kutumia nafasi hii kuwajulisha mashabiki zangu waliokutana na story hizo kuwa sio za kweli ni zenye lengo la kudhoofisha Mahusiano yetu mazuri ya wasanii Wa Africa mashariki..kama BigEye ya Uganda ilivyowahi kuandika habari za...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND ALICHOKISEMA KUHUSU EX WA ZARI


Stori: Musa Mateja/RisasiICON wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, juzikati aliamua kumtolea uvivu, aliyewahi kuwa mpenzi wa mwandani wake wa sasa, Zarinah Hassani ‘Zari’, King lawrenc kwa kumuita mpuuzi anayetafuta kiki kwa vile kila kukicha kazi yake ni kumfuatafuata kwa maneno ya kejeli na kumtusi.
X wa Zari, King lawrence akipozi.
Akipiga stori mbili tatu na gazeti hili hivi karibuni, staa huyo alisema mara nyingi amejitahidi kumpuuza kwa kitendo chake cha kumkejeli katika mitandao ya...

 

10 years ago

Bongo5

Alichokisema Mwana FA baada ya kile alichokiona kwenye Fiesta Dar kuhusu wasanii wa Bongo

Hamis Mwinjuma a.k.a Mwana FA ni miongoni mwa wasanii waliopata nafasi ya kupanda jukwaa moja na rapper T.I kutoka Marekani, usiku wa Jumamosi October 18 pale viwanja vya Leaders Club jijini Dar katika tamasha kubwa la Serengeti Fiesta 2014. Licha ya kufanya show kali lakini pia Binamu alikuwa ni mtazamaji wa show za wasanii wengine […]

 

9 years ago

Bongo5

Tunda Man adai kuhujumiwa na wasanii wenzake

Tunda Man amedai kuwa amegundua kuwepo wasanii wanaohujumu wasanii wenzao ili wasifanikiwe. Muimbaji huyo ameiambia 255 ya XXL kupitia Clouds FM kuwa kupitia utafiti alioufanya, amegundua wasanii hawana ushirikiano na wapo tayari kuwafanya wenzake wasifanikiwe. “Sijakurupa kusema hivyo, nimeshafanya research na nikagundua,” alisema. “Mimi kuna siku nilikuwa na show UK, promota akaniambia natafuta namba yako […]

 

5 years ago

Bongo5

Mabeste awachana wasanii wenzake wanaodandia siasa

Mabeste ametoa ushauri kwa wasanii wenzake ambao wanajiingiza kwenye siasa na kusahau majukumu yao kwenye muziki.

Akizungumza na kipindi cha Mega Mix cha Abood FM, muimbaji huyo amesema, “Tufanye muziki,tusiconcetrate na siasa. Politics sasa hivi imeshika kuliko kitu kingine chochote na mpaka inasababisha baadhi ya artists kuachia track na zinakuwa zinafeli kwa sababu tu raia wamefocus sana kwenye politics kuliko burudani.”

“Unakuta sisi wasanii wengine tunaona ilituweze kutake attention na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani