Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALICHOKISEMA CHAMELEONE JUU YA MALAVIDAVE YA DIAMOND NA ZARI

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND ALICHOKISEMA KUHUSU EX WA ZARI


Stori: Musa Mateja/RisasiICON wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, juzikati aliamua kumtolea uvivu, aliyewahi kuwa mpenzi wa mwandani wake wa sasa, Zarinah Hassani ‘Zari’, King lawrenc kwa kumuita mpuuzi anayetafuta kiki kwa vile kila kukicha kazi yake ni kumfuatafuata kwa maneno ya kejeli na kumtusi.
X wa Zari, King lawrence akipozi.
Akipiga stori mbili tatu na gazeti hili hivi karibuni, staa huyo alisema mara nyingi amejitahidi kumpuuza kwa kitendo chake cha kumkejeli katika mitandao ya...

 

10 years ago

Bongo5

Exclusive: Diamond afunguka kuhusu Wema, Zari, Penny, Chameleone, Yemi Alade, Waje na mengine (Video)

Tumekaa na Diamond Platnumz kuzunguma mambo kibao hususan tetesi zinazoendelea sasa kuwa ameachana na mpenzi wake Wema Sepetu na kuwa ana uhusiano na mfanyabiashara mrembo wa Uganda, Zari the Bosslady pamoja na issue zingine. Itazame hapo chini au soma kwa kifupi baadhi ya kile alichokisema. Kuhusu kwanini anatumia wazungu zaidi kwenye video zake Mimi nafikiri […]

 

10 years ago

CloudsFM

CHAMELEONE AJA JUU BAADA YA KUANDIKWA KUWA AMEMWOMBA KOLABO DIAMOND

Msanii wa kimataifa kutoka nchini Uganda,Dr Jose Chameleone amekuja juu baada ya taarifa zilizoandikwa na baadhi ya mitandao ya nchini Uganda kuwa amemwomba kolabo staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinumz,kwa kumtumia ujumbe kupitia ‘whatsap’.Mitandao hiyo ya bigeye.ug na lockerdome.com imeandika kuwa Chameleone na Diamond walianza kufahamiana tangu Diamond akiwa anasoma katika chuo kikuu kimoja nchini Uganda.

Habari zinasema Diamond alipoombwa kolabo na chameleone akamjibu asubiri mpaka...

 

10 years ago

Africanjam.Com

TANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI

Tweet

Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND APEWA OFA YA $40,000 AMWACHE ZARI, NJEMBA LAPOST SCREENSHOT YA ZARI AKILIOMBA MKWANJA!

Mapenzi ya Diamond na Zari The Bosslady tayari yameanza kupata vikwazo kutoka kwa watu wenye nguvu. King Lawrence, anayedaiwa kuwa mpenzi wake na Huddah Monroe na ambaye pia ni mtu wa karibu na dereva wa aliyewahi kuwa mume wa Zari, Ivan Semwanga ametangaza dau la $40,000 kwa Diamond ili amwache mpenzi wake huyo. Jamaa huyo amepost picha Facebook ya screenshot inayoonesha kuwa ni mawasiliano na Zari aliyekuwa akitaka amtumie fedha.Lawrence pia amemuita Diamond ‘Faggot’ neno linalomaanisha...

 

10 years ago

Vijimambo

MBIO ZA URAIS HIKI NDICHO ALICHOKISEMA MAKONGORO JUU YA WAGOMBEA WENZIE.



Mbio za kusaka urais kwa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimezidi kushika kasi baada ya mtoto wa tano wa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, Charles Makongoro Nyerere kujitosa kwenye kinyang’anyiro hicho.Wakati Makongoro akichukua uamuzi huo kwa mara ya kwanza katika historia ya familia ya Mwalimu Nyerere, mkoani Mbeya Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Kazi Maalumu, Profesa Mark Mwandosya naye ameingia kwenye mbio hizo.
Akitangaza nia yake katika eneo la Mwitongo kijijini Butiama jana,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani