Alikiba, Lupita Nyong’o uso kwa uso Marekani
Hitmaker wa Mwana na balozi wa WildAid, Alikiba anatarajia kusafiri kuelekea nchini Marekani akiwa na mabalozi wenzake kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika kwaajili ya kutambulishwa pamoja. Kiba ameiambia Clouds E ya Clouds TV kuwa safari hiyo pia itampa uwanja mpana wa kujuana na watu wapya. “Tuweze kutambulika kidunia kama mabalozi kutokea Afrika na global icon […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo510 Dec
Diva uso kwa uso na rapper wa Marekani B.o.B, Jumamosi hii
![20151209210051](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/20151209210051-300x194.jpg)
Mtangazaji wa Clouds FM, Diva The Bawse atakutana na rapper wa Marekani, Bobby Ray Simmons, Jr. maarufu kama B.o.B jijini Nairobi, Kenya Jumamosi hii.
Rapper huyo atatumbuiza Nairobi kwenye show ya Jameson Live Party 2015.
Diva amechaguliwa kuwa mmoja wa watu watakaokutana naye kutokana na kuwa na impact kubwa kwenye redio nchini.
“I am so excited,” ameiambia Bongo5.
“B.o.B ni moja kati ya list ya wasanii wa Marekani ambao I listen too. Namuona on BET, Grammys na kwingine, so I can’t wait...
11 years ago
Dewji Blog![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/10377548_761233197231830_1716468337113105179_n.jpg)
Diamond uso kwa uso na Nelly kwenye red carpet ya tuzo za BET nchini Marekani
Msanii maarufu wa muziki wa Bongo Flava Nasib Abdul almaarufu kama Diamond Platinumz a.k.a Rais wa wasafi leo amepost picha akisalimiana na msanii wa muziki wa kufokafoka wa nchini Marekani Nelly kwenye red carpet wakati wa sherehe za tuzo za BET ambapo ameandika hivi ” Kupata Fursa ya kushare treatment, kunetwork na kubadili ideas na Wasanii ambao ulikuwa ukiwaona tangu mtoto unakua, na tangu unaanza muziki haujui utoke vipi… kiukweli ni jambo ambalo linatia Moyo na nguvu sana ili uzidi...
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE USO KWA USO NA PINTO MWENYEKITI WA TASWA
10 years ago
VijimamboMuwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rageh
hii walikutana uso kwa uso walipofika ofisi za CCM wilaya kuchukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge wa wa Tabora mjini. Wote wawili katika kuonesha siasa si chuki wala ugomvi walilakiana na kusalimiana kwa uzuri kabisa.
10 years ago
MichuziMuwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rage
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-WTz9XKtzpiI/Uz7-Z1LK2dI/AAAAAAAFYnM/4sSj0WgUoSI/s72-c/IMG_4507.jpg)
ankal uso kwa uso na wazee wa kazi jijini london leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-WTz9XKtzpiI/Uz7-Z1LK2dI/AAAAAAAFYnM/4sSj0WgUoSI/s1600/IMG_4507.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-H8H6GfVlCgM/Uz7-cnvggKI/AAAAAAAFYnU/OqrsKaRFM8Q/s1600/IMG_4513.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4TETQG4tBiM/U8rqnC9ghAI/AAAAAAAF3zg/fCwtIzhDE5k/s72-c/SH100835.jpg)
Msondo, Sikinde uso kwa uso Iddi Mosi TCC Club
![](http://2.bp.blogspot.com/-4TETQG4tBiM/U8rqnC9ghAI/AAAAAAAF3zg/fCwtIzhDE5k/s1600/SH100835.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-IqQLziTISnk/U8rqnKLDEYI/AAAAAAAF3zc/lKN9ty_gKWs/s1600/images+(1).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ja6gu*i0lR5yJKw7L0RjXyXxHM4R7-W7K6qulivbhY4r8Uunzajy*rGwmWloyR6cAJ-xWei7YJE7FPsPB24fLov7ykVNKTk4/ss.jpg)
ASKARI POLISI WAGONGANA USO KWA USO NA BODABODA, MORO