Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aliyedaiwa kujifanya daktari afariki dunia

Aliyekamatwa kwa tuhuma za kujifanya daktari Desemba 8, mwaka jana katika Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu na Upasuaji wa Ubongo (Moi), Dismas Macha amefariki dunia katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Daktari afariki na Ebola Liberia

Idara ya afya nchini Liberia imetangaza kuwa Daktari mmoja wa Ebola amefariki kutokana na viini vya ugonjwa huo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Afariki baada ya kutibiwa na daktari feki Singida

DSC00179111

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, SACP Geofrey Kamwela.

Na Nathaniel Limu

MKULIMA na mkazi wa kijiji cha Iyumbu tarafa ya Sepuka wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida,Jubulu Mahende,amefariki dunia muda mfupi baada ya kupewa matibabu na mtu anayedaiwa kuwa ni daktari feki.

Imedaiwa kuwa Jubulu aliyekuwa akisumbuliwa na kifua, kiuno na mgongo alizidishiwa dawa kitendo kilichopelekea hali yake kuwa mbaya zaidi.

Daktari huyo ambaye amekiri hana cheti cha aina yo yote kutoka vyuo vya...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtume aliyetabiri mwisho wa dunia afariki dunia

>Mtume wa Kanisa la World Message Last Warning ambaye alitabiri kwamba mwaka 2000 utakuwa mwisho wa dunia, Wilson Bushara (53) amefariki dunia.

 

11 years ago

BBCSwahili

Daktari mwengine wa Ebola aaga dunia

Ripoti kutoka Sierra Leone zinasema kuwa daktari mwengine amefariki kutokana na virusi vya ugonjwa wa Ebola.

 

11 years ago

Mwananchi

Gurumo afariki dunia

>Mwanamuziki mkongwe pengine kuliko wote kwa sasa nchini na mwasisi wa Bendi ya Msondo Ngoma, Muhidin Maalim Gurumo amefariki dunia jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), alipokuwa akipatiwa matibabu ya moyo.

 

11 years ago

CloudsFM

MSANII YP AFARIKI DUNIA

Msanii aliyekuwa mkali wa Bongo Fleva, YP kutoka kundi la wanaume Family amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Meneja wa kundi hilo Said Fella amethibitisha kutokea kwa msiba wa msanii huyo, aliyefariki kwa maradhi ya kifua katika hospitali ya Temeke, Dar es Salaam.

 

10 years ago

CloudsFM

Mez B afariki Dunia

Msanii wa Bongo Fleva,Mez B amefariki dunia muda mfupi uliopita huko mjini Dodoma - Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi! - Taarifa zaidi zitakujia kadri tutakavyozipokea!

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge afariki dunia

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepata pigo lingine kwa kuondokewa na Mbunge wa Chalinze (CCM), Said Bwanamdogo, ambaye amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwanakatwe afariki dunia

KATIBU Mkuu wa zamani wa Chama cha Soka Tanzania (FAT, sasa Shirikisho la Soka Tanzania – TFF), Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe amefariki dunia jana asubuhi katika Hospitali Kuu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani