ALIYEMPONZA CHEKA HUYU HAPA
![](http://api.ning.com:80/files/hMNECPNor9*UqevMoR8qdgBdA-C2OPf4XrnYjMvo6OM4OEU7b1rPfi5kOqcb6ZdYfKn4Lbc-JA3cZdCN8Rizi89d*l6qfeQR/Cheka.jpg?width=650)
ALIYEKUWA meneja wa baa ya Vijana Social ya mjini Morogoro iliyokuwa ikimilikiwa na Bondia Francis Cheka, Bahati Kabanda aliyemponza hadi kuhukumiwa kifungo, hivi sasa anaishi kwa hofu kutoka kwa mashabiki wa bingwa huyo wa masumbwi wa dunia. Aliyekuwa meneja wa baa ya Vijana Social ya mjini Morogoro. Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga ngumi na kumuumiza meneja wake huyo, wakati alipokwenda kwa ajili ya kufuata fedha za mauzo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/7zqEL_P_B4U/default.jpg)
21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza
BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm-Oe8FPwPxRlujZ4OK73nSmhUEFL1iHZ2orBqk3Y0U3FWSvoIVKU4os3PD17GcEgLFKRXd24UKTz4-hPhaSjf5b/JAMAA.jpg?width=650)
ALIYEBUNI TANZANIA HUYU HAPA-2
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SRbpV0Al75rGNqBffV1hT3Ott07m98UC*iO-VH-VfEV9kDuV9237iqCQ2dOyKWBThz*fEe36BGtSSpfggWSMwJvXsm8mYsJr/JAMAA.jpg?width=650)
ALIYEBUNI TANZANIA HUYU HAPA
10 years ago
Tanzania Daima12 Nov
Rais fukara huyu hapa
WAKATI viongozi wakuu wa nchi mbali mbili duniani wakiishi maisha ya ukwasi wa hali ya juu kutegemeana na uchumi wa taifa husika, hali hiyo iko tofauti kwa Rais wa Uruguay,...
10 years ago
Raia Tanzania13 Jul
Huyu hapa Samia Hassan Suluhu
JANA, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Pombe Joseph Magufuli alimtangaza Mbunge wa Makunduchi, mama Samia Hassan Suluhu kuwa mgombea wake mwenza, ikiwa na maana kwamba ni yeye ndiye atakayekuwa Makamu wa Rais wa Tanzania iwapo chama hicho kitashinda katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Ikiwa hivyo, Samia atakuwa mwanamke wa kwanza Tanzania kukamata nafasi hiyo kubwa katika moja ya mihimili ya dola, serikali, akiwa ni mshauri mkuu wa Rais na namba mbili kwa uongozi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/omkt7cwbhXJ7v6bTDfFXjxACpE9q6YRfFh8GDFHdEaFhOms6dnH-R5VXhZ51o1jNaXFvaowS8Wa1rX-lgcHqbXF-TpMJSXcM/mkongo.jpg?width=650)
MKONGO WA WOLPER, HUSNA HUYU HAPA
9 years ago
Mwananchi14 Sep
'Anayeunda Mwenge wa Uhuru' huyu hapa