Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALIYEBUNI TANZANIA HUYU HAPA

Huyu bwana aliyebuni jina la Tanzania ni Mtanzania mwenye asili ya Kihindi na dini yake ni Ahmadiya Muslim Jamaat Tanzania na majina yake ni Mohammed Iqbal Dar. Katika kumbukumbu muhimu nimeona niwakumbushe na kuwafahamisha jambo zito kwa wale wasiojua.
 Nianze na swali je, unamjua huyu mtu aliyetunga jina la Tanzania? Bila shaka wengi hawajui kwa sababu hili huwa haliandikwi au kutangazwa kwa sababu ambazo mimi sizijui....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ALIYEBUNI TANZANIA HUYU HAPA-2

WIKI iliyopita nilieleza jinsi bwana Mohammed Igbal Dar alivyoanza kubuni jina la Tanzania baada ya Watanzania kuombwa kufanya hivyo. Kwa mujibu wa Mwandishi Alphonce Kapela aliyekuwa BBC, Mohammed Iqbal Dar alichukua herufi tatu kutoka Tanganyika yaani TAN na kwa upande wa Zanzibar akachukua herufi tatu za Mwanzo ZAN alipounganisha akapata neno  TANZAN. Anasema baada ya kuona halijajitosheleza akachukua I herufi ya kwanza...

 

9 years ago

Raia Mwema

Huyu ndiye aliyebuni nembo ya Magufuli

MIEZI michache kabla ya kuanza kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, Chama Cha Mapinduzi (C

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Tanzania Daima

Rais fukara huyu hapa

WAKATI viongozi wakuu wa nchi mbali mbili duniani wakiishi maisha ya ukwasi wa hali ya juu kutegemeana na uchumi wa taifa husika, hali hiyo iko tofauti kwa Rais wa Uruguay,...

 

10 years ago

GPL

ALIYEMPONZA CHEKA HUYU HAPA

ALIYEKUWA meneja wa baa ya Vijana Social ya mjini Morogoro iliyokuwa ikimilikiwa na Bondia Francis Cheka, Bahati Kabanda aliyemponza hadi kuhukumiwa kifungo, hivi sasa anaishi kwa hofu kutoka kwa mashabiki wa bingwa huyo wa masumbwi wa dunia. Aliyekuwa meneja wa baa ya Vijana Social ya mjini Morogoro. Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga ngumi na kumuumiza meneja wake huyo, wakati alipokwenda kwa ajili ya kufuata fedha za mauzo...

 

9 years ago

Mwananchi

'Anayeunda Mwenge wa Uhuru' huyu hapa

Licha ya kuteketeza mamilioni unapokimbizwa yeye analipwa sh250,000, sasa ni mlemavu.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Huyu hapa Samia Hassan Suluhu

JANA, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Pombe Joseph Magufuli alimtangaza Mbunge wa Makunduchi, mama Samia Hassan Suluhu kuwa mgombea wake mwenza, ikiwa na maana kwamba ni yeye ndiye atakayekuwa Makamu wa Rais wa Tanzania iwapo chama hicho kitashinda katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.

Ikiwa hivyo, Samia atakuwa mwanamke wa kwanza Tanzania kukamata nafasi hiyo kubwa katika moja ya mihimili ya dola, serikali, akiwa ni mshauri mkuu wa Rais na namba mbili kwa uongozi...

 

11 years ago

GPL

MKONGO WA WOLPER, HUSNA HUYU HAPA

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya Mambo hadharani! Kigogo ambaye ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo anayewagombanisha mastaa wawili Bongo, Jacqueline Wolper Massawe na Husna Maulid ni huyu hapa. Anaitwa Rajab Mwami Shamweshi. Staa wa Bongo Muvi, Jacqueline Wolper Masswe. Habari zilizolifikia Ijumaa zilidai kwamba baada ya mtafaruku wa mastaa hao kuripotiwa na gazeti mama la hili, Uwazi la Jumanne iliyopita, jamaa...

 

10 years ago

GPL

BABA ANAYEDAIWA KUMCHINJA MWANAYE HUYU HAPA

Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata MAPYA yameibuka! Kwamba baba mzazi anayedaiwa kumchinja mwanaye hivi karibuni maeneo ya Mabibo Luhanga jijini Dar, Maneno William Kasuga (50) (pichani),  kuwa kabla hajafanya unyama huo aliomba atumiwe pesa na mzazi mwenzie ndipo  amrudishe mtoto. Baba aliyefahamika kwa jina la William Kasuga akionekana katika picha na mwanae aliyemchinja. Akizungumza na waandishi wetu bibi wa marehemu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani