Huyu ndiye aliyebuni nembo ya Magufuli
MIEZI michache kabla ya kuanza kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, Chama Cha Mapinduzi (C
Mwandishi Wetu
Raia Mwema
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JHmXNI-tCTqpeGn*7Bl11*I6SqYTTFnyuMvZtLe7taPADNDy*xdL4KZNjKKRj6NE90j2yd3XIwtkSPBFUeixDP030PPMMoE3/Bi.SamiaSuluhu.jpg)
HUYU NDIYE MGOMBEA MWENZA WA MHE. MAGUFULI
Mgombea urais wa CCM, Mhe. John Pombe Magufuli amemteua Mhe. Samiah Suluhu Hassan (pichani juu) kuwa mgombea mwenza katika kinyang’anyiro cha urais 2015.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm-Oe8FPwPxRlujZ4OK73nSmhUEFL1iHZ2orBqk3Y0U3FWSvoIVKU4os3PD17GcEgLFKRXd24UKTz4-hPhaSjf5b/JAMAA.jpg?width=650)
ALIYEBUNI TANZANIA HUYU HAPA-2
WIKI iliyopita nilieleza jinsi bwana Mohammed Igbal Dar alivyoanza kubuni jina la Tanzania baada ya Watanzania kuombwa kufanya hivyo. Kwa mujibu wa Mwandishi Alphonce Kapela aliyekuwa BBC, Mohammed Iqbal Dar alichukua herufi tatu kutoka Tanganyika yaani TAN na kwa upande wa Zanzibar akachukua herufi tatu za Mwanzo ZAN alipounganisha akapata neno TANZAN. Anasema baada ya kuona halijajitosheleza akachukua I herufi ya kwanza...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SRbpV0Al75rGNqBffV1hT3Ott07m98UC*iO-VH-VfEV9kDuV9237iqCQ2dOyKWBThz*fEe36BGtSSpfggWSMwJvXsm8mYsJr/JAMAA.jpg?width=650)
ALIYEBUNI TANZANIA HUYU HAPA
Huyu bwana aliyebuni jina la Tanzania ni Mtanzania mwenye asili ya Kihindi na dini yake ni Ahmadiya Muslim Jamaat Tanzania na majina yake ni Mohammed Iqbal Dar. Katika kumbukumbu muhimu nimeona niwakumbushe na kuwafahamisha jambo zito kwa wale wasiojua.
 Nianze na swali je, unamjua huyu mtu aliyetunga jina la Tanzania? Bila shaka wengi hawajui kwa sababu hili huwa haliandikwi au kutangazwa kwa sababu ambazo mimi sizijui....
9 years ago
Mwananchi06 Dec
Tibaigana: Huyu ndiye Rais niliyemtaka
Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna mstaafu Alfred Tibaigana amesema Rais John Magufuli amepatikana wakati sahihi, kwa kuwa nchi inamhitaji kiongozi ambaye akitoa amri inatekelezwa mara moja.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DkRfQoehpOqeTr76kwCCx4tCbh29Rve37-*mEcNt6DR57aRDtBB6KnIy5Jh71g7KcDkqtR0xZi6OE60kf9b6Dr53AGOFLnlv/dimpoz.jpg)
HUYU NDIYE OMMY DIMPOZ WA KITAMBO!
Stori: Musa Mateja
Tumetoka mbali! Picha ya staa wa Pozi kwa Pozi ‘PKP’, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, aliyofotolewa enzi anaingia jijini Dar kwa treni imekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki wake na sasa inaelekea kutapakaa kila kona ya nchi na wengi wakibishana namna alivyokuwa awali na muonekano wake wa sasa. Huu ni muonekano wa Staa wa Pozi kwa Pozi, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kwa sasa. ...
9 years ago
Mwananchi20 Nov
Huyu ndiye Mwalimu Kassim Majaliwa
Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tamissemi (Elimu), Kassim Majaliwa ndiye Waziri Mkuu mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ataapishwa leo mjini Dodoma kuwa Waziri Mkuu wa 11 wa Tanzania tangu uhuru.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BIHCTCFFxEUDpKS4nSzNCBZlfNqZAaOwnFZmTKYNbbIzKwYVLBpApg-X5PH*QzMLelt18Qcc6g4-pZwxaC3zpV5p6karZbDo/samia.jpg?width=650)
SULUHU: HUYU NDIYE SHIBUDA ORIJINO
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia Suluhu. Na MWANDISHI WETU
WAKATI Mbunge wa Bariadi Magharibi (Chadema), John Shibuda akiwasilisha maoni ya wachache ya Kamati namba 8 ya Bunge Maalum la Katiba linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma Jumatano mchana, Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu alimsifu na kusema kuwa mwakilishi huyo wa wananchi ndiye orijino, ukimuona mwingine ni photokopi. Shibuda...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ov90wJC7zCwLVAiSL5JEKkbSQ1BFahbhU7v00yC549eS5VmC9iMJ6papAsouw386ly6MlRjPqGrejH8TFHCFDVzgYZcDK3ql/singa.jpg)
HUYU NDIYE SINGASINGA TAPELI WA ESCROW
Stori: Mwandishi Wetu
Unamjua? Anaitwa Harbinder Singh Sethi! Ni mfanyabiashara bilionea mwenye asili ya Bara la Asia na mmiliki wa mtambo wa kufua umeme wa Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ambayo hivi karibuni imezua tafrani Bongo kufuatia kampuni yake kuhusishwa na uchotwaji wa fedha kiasi cha Sh. Bilioni 306 kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Singa singa ambaye ni...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BKB8rO763wFSeyrSyaR0ihFz0ON1TsHZLVm7zVXrXNefg9aiFsivRqYPoOCkbjNP1DcGNxLmfFvJ*MoS8Y*2UNZ5LDO4W-ze/zari.jpg)
HUYU NDIYE ALIYEMPA ZARI JEURI YA FEDHA
 Kibosile Ivan Ssemwanga akiwa na  ‘Zari’. Makala : Hashim Aziz na mitandao Umaarufu wa msanii wa…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania