Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HUYU NDIYE MGOMBEA MWENZA WA MHE. MAGUFULI

Mgombea urais wa CCM, Mhe. John Pombe Magufuli amemteua Mhe. Samiah Suluhu Hassan (pichani juu) kuwa mgombea mwenza katika kinyang’anyiro cha urais 2015.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MHE.JOHN MAGUFULI NDIYE MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUPITIA CCM 2015

Kura zilizopigwa zilikuwa ni kura 2422, na kura zilizoharibika ni kura 6. Kulingana na kura zilizoharibika basi kura halali ni jumla ya kura 2416. 

Dr. Asha Rose Migiro amepata jumla ya kura 59 sawa na na asilimia 2.4%

Balozi Amina Ali amepata jumla ya kura 253 sawa na asilimia 10.5%

Mhe. John Magufuli amepata jumla ya kura 2104 sawa na asilimia 87.1%

 

10 years ago

Mwananchi

Mgombea urais mteule John Magufuli amteua Samiah Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza

Mgombea urais mteule kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amteua Samiah Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza  kwenye Uchaguzi  Mkuu 2015.

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM DKT. JOHN MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA MH. SAMIA SULUHU WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea wa Urais Dkt John Pombe Magufuli  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo. 
  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea Mwenza  wa Urais Mh. Samia Suluhu  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo.   Baadhi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Samia Suluhu mgombea mwenza wa Magufuli

>Mgombea urais kupitia CCM, Dk John Magufuli amemteua Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza wa nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

 

9 years ago

Raia Mwema

Huyu ndiye aliyebuni nembo ya Magufuli

MIEZI michache kabla ya kuanza kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, Chama Cha Mapinduzi (C

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Dewji Blog

Mgombea mwenza Bi. Samia Suluhu amnadi Dk. Magufuli Wilaya za Korogwe na Lushoto

Sehemu ya wanaCCM na wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akinadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo mjini Korogwe, Mkoa wa Tanga. Mgombea mwenza nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi, Bi. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wasanii na wananchi wengine alipokuwa akiwasili katika viwanja vya Shule ya Msingi Mazoezi leo Mjini Korogwe ambapo alifanya mkutano wa kampeni. Mgombea mwenza nafasi ya urais wa Chama Cha...

 

10 years ago

Vijimambo

MH. MAGUFULI AMTANGAZA SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MGOMBEA MWENZA WAKE

        Mh. Samia Suluhu Hassan 


Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Mh John Pombe Magufuli amemtangaza mgombea mwenza wake kuwa ni Mh. Samia Suluhu Hassan. 

Mh Magufuli amemtangaza Mh Samia wakati alipokuwa akikishukuru chama chake kwa kumteua kuipeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao baadaye mwaka huu. 
Baada ya kumtangaza Mh Samia kuwa mgombea mwenza wake, ukumbi mzima ulilipuka kwa shangwe na vigelele. 
Hii ni mara ya kwanza tangu uhuru kwa Tanzania kuwa...

 

10 years ago

StarTV

Dr.John Magufuli ndiye mgombea urais CCM.

Chama tawala nchini Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemtangaza daktari John Magufuli kuwa mgombea wake wa kiti cha Urais katika uchaguzi mkuu wa ujao.

Daktari John Magufuli, alisajili asilimia 87 % ya kura za wajumbe, hiyo ikiwa ni kura 2104.

null
Kwa mujibu wa akaunti ya twitter ya CCM ametapata asilimia 87% ya kura za wajumbe

Bi Amina Salulm Ali alimaliza katika nafasi ya pili akiwa na asilimia 10.5 % ya kura zote ikiwa ni sawa na kura 253.

Dk. Asha-Rose Migiro akijizolea asimilia tatu ya...

 

10 years ago

GPL

MAGUFULI NDIYE MGOMBEA URAIS WA CCM 2015

MBUNGE wa Biharamulo Mashariki (CCM) na Waziri wa Ujenzi, Mhe. John Pombe Magufuli ameshinda katika uchaguzi wa kumpata mgombea urais wa CCM kwa mwaka 2015. Magufuli ameshinda baada ya kupata jumla ya kura 2104 sawa na 87.1%, Balozi Amina Salum Ali amepata kura 253 sawa na 10.5% na Dk. Asha-Rose Migiro 59 sawa na 2.4%. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Anne Makinda ndiye aliyepewa jukumu la kutangaza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani