Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SULUHU: HUYU NDIYE SHIBUDA ORIJINO

Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia Suluhu. Na MWANDISHI WETU
WAKATI Mbunge wa Bariadi Magharibi (Chadema), John Shibuda akiwasilisha maoni ya wachache ya Kamati namba 8 ya Bunge Maalum la Katiba linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma Jumatano mchana, Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu alimsifu na kusema kuwa mwakilishi huyo wa wananchi ndiye orijino, ukimuona mwingine ni photokopi. Shibuda...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

Huyu hapa Samia Hassan Suluhu

JANA, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Pombe Joseph Magufuli alimtangaza Mbunge wa Makunduchi, mama Samia Hassan Suluhu kuwa mgombea wake mwenza, ikiwa na maana kwamba ni yeye ndiye atakayekuwa Makamu wa Rais wa Tanzania iwapo chama hicho kitashinda katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.

Ikiwa hivyo, Samia atakuwa mwanamke wa kwanza Tanzania kukamata nafasi hiyo kubwa katika moja ya mihimili ya dola, serikali, akiwa ni mshauri mkuu wa Rais na namba mbili kwa uongozi...

 

9 years ago

Raia Mwema

Huyu ndiye aliyebuni nembo ya Magufuli

MIEZI michache kabla ya kuanza kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, Chama Cha Mapinduzi (C

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Mwananchi

Tibaigana: Huyu ndiye Rais niliyemtaka

Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna mstaafu Alfred Tibaigana amesema Rais John Magufuli amepatikana wakati sahihi, kwa kuwa nchi inamhitaji kiongozi ambaye akitoa amri inatekelezwa mara moja.

 

10 years ago

GPL

HUYU NDIYE SINGASINGA TAPELI WA ESCROW

Stori: Mwandishi Wetu
Unamjua? Anaitwa Harbinder Singh Sethi! Ni mfanyabiashara bilionea mwenye asili ya Bara la Asia na mmiliki wa mtambo wa kufua umeme wa Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ambayo hivi karibuni imezua tafrani Bongo kufuatia kampuni yake kuhusishwa na uchotwaji wa fedha kiasi cha Sh. Bilioni 306 kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Singa singa ambaye ni...

 

10 years ago

GPL

HUYU NDIYE OMMY DIMPOZ WA KITAMBO!

Stori: Musa Mateja
Tumetoka mbali! Picha ya staa wa Pozi kwa Pozi ‘PKP’, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, aliyofotolewa enzi anaingia jijini Dar kwa treni imekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki wake na sasa inaelekea kutapakaa kila kona ya nchi na wengi wakibishana namna alivyokuwa awali na muonekano wake wa sasa. Huu ni muonekano wa Staa wa Pozi kwa Pozi, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kwa sasa. ...

 

9 years ago

Mwananchi

Huyu ndiye Mwalimu Kassim Majaliwa

Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tamissemi (Elimu), Kassim Majaliwa ndiye Waziri Mkuu mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ataapishwa leo mjini Dodoma kuwa Waziri Mkuu wa 11 wa Tanzania tangu uhuru.

 

10 years ago

Vijimambo

HUYU NDIYE MUUWAJI WA POLISI WAWILI NEW YORK

This 2009 photo provided by the Springfield, Ohio Police Department shows Ismaaiyl Brinsley after an arrest on a robbery charge.
Ismaaiyl Brinsley, 28, anayo historia ya matatizo ya akili na ujambazi huko nyuma Muuaji aliwauwa polisi waliokuwa wamekaa ndani ya gari yao ya polisi na baadae Brinsley kukimbilia kwenye kituo cha Treni na kujipiga risasi na kufa papo hapo  baada ya kuwaona hana pakutokea baada yakuzingirwa na polisi eneo hilo. Watu waliokua karibu na tukio walimsikia muuaji akiwaambia "watch what I'm going to do" na baada ya maneno hayo ndipo alipowaua polisi hao kwa kuwapiga risasi vichwani na juu mwilini...

 

10 years ago

GPL

HUYU NDIYE ALIYEMPA ZARI JEURI YA FEDHA

  Kibosile  Ivan Ssemwanga akiwa na  ‘Zari’. Makala : Hashim Aziz na mitandao Umaarufu wa msanii wa…

 

10 years ago

Mwananchi

Huyu ndiye rais nimtakaye Serikali ijayo

Miezi michache imebaki kabla ya Watanzania kuwachagua viongozi wa Serikali ya awamu ya tano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani