Aliyepongeza majambazi yaliyovamia Polisi Stakishari… ahukumiwa jela
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Bruno Kimaryo, kifungo cha miaka miwili jela baada ya kupatikana na hatia ya kusambaza ujumbe katika mtandao wa kijamii wa kuyapongeza majambazi yaliyovamia Kituo cha Polisi cha Stakishari na kuua polisi. Aidha, mshtakiwa huyo ametakiwa ama kulipa faini ya Sh. 600,000 kwa kosa hilo.
Katika tukio la Stakishari lililotokea Julai 12, mwaka huu, majambazi yalivamia kituo hicho na kuua polisi wanne na raia watatu pamoja na kupora bunduki 20 aina ya...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi30 Dec
Polisi ahukumiwa maisha jela
11 years ago
BBCSwahili23 May
Germain Katanga ahukumiwa jela miaka 12
11 years ago
BBCSwahili21 Feb
Ahukumiwa jela kwa kubakwa Sudan
11 years ago
BBCSwahili23 Jul
Muindaji haramu ahukumiwa miaka 77 jela
10 years ago
BBCSwahili17 Mar
Mama wa miaka 100 ahukumiwa jela Kenya
10 years ago
Vijimambo12 Feb
Capt.Francesco Schettino ahukumiwa miaka 16 jela
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/304/amz/worldservice/live/assets/images/2015/02/11/150211192523_francesco_schettino_costa_concordia_304x171_afp_nocredit.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bsmQVYBkFPgCEOtf8fyFZfWbcBylWu3j1sX4Cq3AOLGJxwtZmwomHed3Lj*56nyZTv3ZAHGqINTPOCQdf56hlbez56XZf9B2/ekelege.jpg?width=650)
CHARLES EKELEGE AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA MITATU
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-UZfru-goepo/XpC1KcOwvvI/AAAAAAALmu8/zJr3O_0wlqsXZsg5EKZVXOpUIskYB4DWwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200410-WA0016.jpg)
Ahukumiwa maisha jela kwa kosa la kubaka na kulawiti
Na Amiri kilagalila,Njombe
Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Njombe imemuhukumu Hezron Ndone ( 44) mkazi wa joshoni kata ya mji mwema mjini Njombe kwenda jela kifungo cha maisha kwa kosa kumbaka na kumlawiti mtoto wake wa kumzaa ambaye ni mwanafunzi darasa la tano mwenye umri wa miaka 10.
Akisoma hukumu ya kesi namba 14 ya mwaka 2020 hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya mkoa Njombe Hassan Mkakube alisema mtuhumiwaalishtakiwa kwa makosa manne mawili ya kuzini na maalimu kinyume na...