Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aliyeshinda Zanzibar atangazwe-Zitto

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameitaka Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kumtangaza mshindi wa kiti cha urais wa Zanzibar.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Museveni- Nyerere atangazwe Mtakatifu

Rais Yoweri Museveni, amesema kiongozi bora ni yule anayefuata maagizo ya Mungu na kuwatumikia binadamu wote kwa usawa na haki.

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA MTAA ALIYESHINDA SEGEREA JIJINI DAR ES SALAAM AAPISHWA KIAINA

Japhet Kembo (Chadema) akila kiapo cha kuwa mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Migombani kata ya Segerea wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam mbele ya wakili wa kujitegemea Idd Msawanga (mwenye suti nyeusi) leo Jumatatu Januari 19, 2015 nje ya ofisi hizo, jijini Dar es Salaam, tukio hilo ni la aina yake kwani kiutaratibu, mshindi huapishwa katika hafla inayoandaliwa na halmashauri ya wilaya husika. Hata hivyo, kumekuwepo na mizengwe ya kuapishwa kwa Japhet, ambapo viongozi wenzake kutoka kata...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AKUTANA NA MTANZANIA ALIYESHINDA TUZO ZA COMMONWEALTH MJINI LONDON

Mhe. Bernard Membe (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiwa na Julius James Shirima, mshindi wa Tuzo ya Vijana wa Nchi za Jumuiya ya Madola upande wa Afrika. Kwenye mazungumzo mafupi, Mhe. Membe alimpongeza Shirima kwa tuzo hizo na aliahidi kumpa ushirikiano kupitia Wizara anayoiongoza ili vijana wengi wa Kitanzania wanufaike na mchango wa Shirima na pia waige mfano wake na kuendelea kupeperusha vema bendera ya Tanzania.Julius Shirima, mshindi wa Tuzo za Vijana wa nchi...

 

10 years ago

Bongo5

Washindi wa tuzo za MOBO 2015 watangazwa, Si Davido wala Wizkid aliyeshinda kipengele cha Afrika

Mobo awards

Tuzo za MOBO 2015 (Music Of Black Origin) zimetolewa Jumatano ya Novemba 4 huko Leeds, Uingereza.

Fuse
Fuse ODG

Wasanii wa Afrika walikuwa wakishindana kwenye kipengele kimoja tu cha ‘Best African Act’ ambapo msanii aliyeibuka kidedea kwenye kipengele hicho ni Fuse ODG.

Fuse ODG amewashinda Wizkid, Davido, Patoranking, AKA, Yemi Alade, Moelogo, Mista Silva, Shatta Wale na Silvastone ambao walikuwa wakiwania kipengele hicho. Hakukuwa na msanii yeyote kutoka Afrika Mashariki aliyeingia kwenye...

 

9 years ago

Bongo5

Layla (Voice Fairy) – Msanii chipukizi wa Bongo aliyeshinda shindano la Yemi Alade na kuwa staa kwa kuimba cover za wasanii

11253897_955031214568617_1983885996_n

Kwa wapenzi wa mtandao wa Instagram, jina na sura ya Layla aka The Voice Fairy sio vigeni.

11253897_955031214568617_1983885996_n

Muimbaji huyo wa Mwanza anayeishia Dar es Salaam kimasomo amejipatia umaarufu kwenye ulimwengu wa Instagram kwa kuimba nyimbo za wasanii wengine (cover) kabla hata ya kurekodi wimbo wake ‘Hoi Hoi’ uliotoka wiki iliyopita.

10249313_428053124072355_1371821855_n

“Napenda sana kuimba nyimbo za watu napost kwenye Instagram yangu,” Layla alikiambia kipindi cha The Bridge cha Radio Free Africa, Jumapili, Nov 15.

“So hiyo ilinijengea...

 

10 years ago

Mwananchi

Profesa Bagadanshwa: Profesa aliyeshinda vikwazo vya kuwa mlemavu wa kutoona

Baadhi ya watu wenye ulemavu wanathibitisha kuwa ulemavu si kikwazo cha binadamu kutafuta haki ya msingi ya kupata elimu.

 

10 years ago

Vijimambo

Viongozi wa Vyama vya Siasa Zanzibar Wakiwa katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar Wakisubiri Matokeo ya Kura ya Urais wa Zanzibar

Viongozi wa Chama cha CCM wakiwa katika ukumbi wa Salama Bwawani wakisubiri matokeo ya Kura za Wagombea Urais wa Zanzibar kutangwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jecha Salim Jecha, Ukumbi wa Salama ndio kituo Kikuu cha kutangazia Matokeo ya Kura za Urais wa Zanzibar. Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wakiwa katika Ukumbi wa Salama wakisubiri kutaja kwa Matokeo ya Urais wa Zanzibar na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC.Viongozi wa Chama cha CUF wakiwa katika ukumbi wa Salama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani