Museveni- Nyerere atangazwe Mtakatifu
Rais Yoweri Museveni, amesema kiongozi bora ni yule anayefuata maagizo ya Mungu na kuwatumikia binadamu wote kwa usawa na haki.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Nitapeleka ushahidi Roma kuhusu maisha ya Nyerere - Museveni
Na Paul Mallimbo, Kampala, Uganda
Rais Yoweri Museveni, amesema kiongozi bora ni yule anayefuata maagizo ya Mungu na kuwatumikia binadamu wote kwa usawa na haki. Rais Museveni aliyasema hayo (Juni mosi) wakati ibada ya kuombea mchakato wa kumfanya Marehemu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kuwa mwenyeheri na hatimaye kutangazwa mtakatifu.
Alisema hata kwenye maandiko matakatifu ya Biblia kuna mistari inayomtaka binadamu ampende binadamu mwenzake kama anavyojipenda yeye;“Kwenye biblia...
9 years ago
Mwananchi01 Dec
Aliyeshinda Zanzibar atangazwe-Zitto
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameitaka Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kumtangaza mshindi wa kiti cha urais wa Zanzibar.
9 years ago
BBCSwahili05 Jan
Mtandao Mtakatifu kuzinduliwa Accra
Kundi la RA ambalo ni la kikristo nchini Ghana linatarajia kuzindua kitu kinachoitwa mtandao wa kijamii mtakatifu
9 years ago
Raia Mwema23 Dec
9 years ago
BBCSwahili18 Dec
'Mother Teresa' kuwa mtakatifu
Ni baada ya Papa Francis kutambua muujiza wa pili uliohusishwa na 'Mother Teresa' ambapo raia wa Brazil alipona saratani
10 years ago
Habarileo15 Mar
Baba Mtakatifu ajitabiria ukomo
AKIWA katika maadhimisho ya kuanza mwaka wa pili wa utume wake katika kuongoza Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Francis, ametoa kauli kuashiria kuwa huenda asidumu katika wadhifa huo kwa muda mrefu ujao.
11 years ago
TheCitizen14 Oct
NYERERE DAY: Untold story of how Nyerere won Africa’s deadly war
>As the nation commemorates the 15th anniversary of the death of founding president Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, fresh details have emerged on how the globally acknowledged statesman built an eight-year-long case as a curtain raiser to the war against General Idi Amin Dada – one of Africa’s most brutal dictators.
10 years ago
GPL14 Oct
10 years ago
VijimamboDK MAGUFULI AZURU KABURI LA NYERERE BUTIAMA, AKABIDHIWA KIFIMBO CHA 'NYERERE'
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania