Nitapeleka ushahidi Roma kuhusu maisha ya Nyerere - Museveni

Na Paul Mallimbo, Kampala, Uganda Rais Yoweri Museveni, amesema kiongozi bora ni yule anayefuata maagizo ya Mungu na kuwatumikia binadamu wote kwa usawa na haki. Rais Museveni aliyasema hayo (Juni mosi) wakati ibada ya kuombea mchakato wa kumfanya Marehemu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kuwa mwenyeheri na hatimaye kutangazwa mtakatifu. Alisema hata kwenye maandiko matakatifu ya Biblia kuna mistari inayomtaka binadamu ampende binadamu mwenzake kama anavyojipenda yeye;“Kwenye biblia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo02 Jun
Museveni- Nyerere atangazwe Mtakatifu
Rais Yoweri Museveni, amesema kiongozi bora ni yule anayefuata maagizo ya Mungu na kuwatumikia binadamu wote kwa usawa na haki.
10 years ago
GPL16 Apr
10 years ago
GPL15 Apr
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Mawakili kesi ya Sheikh Ponda wavutana kuhusu sheria ya ushahidi
11 years ago
BBCSwahili13 May
Ushauri wa Museveni kuhusu Boko Haram
10 years ago
BBCSwahili15 Sep
Museveni na Bashir kuzungumza kuhusu Sudan K
10 years ago
BBCSwahili22 Aug
Museveni amusuta Raila kuhusu Sukari
11 years ago
BBCSwahili23 Feb
Tutu amsihi Museveni kuhusu mswada mpya