Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


aluta kontinyua...


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

aluta kontinyua: hoja ya haja: Mimi wa Ughaibuni kama Diaspora pia ni Mtanzania...

Kwa muda wa wiki sasa Watanzania tunaoishi ughaibuni tumekuwa tukiendesha kampeni yakuelimisha umma kuhusu maombi yetu ya kupatiwa haki ya kikatiba ya kuwa na uraia pacha. “Mimi ni Mtanzania” ni ukweli uliopo kwa mtu yeyote mwenye asili ya Tanzania bila ya kujali anaishi Tanzania au ughaibuni.  Leo tunapenda kutoa wito kwa serikali, kwa Bunge Maalumu la Katiba na kwa vyama vyote vya kisiasa katika jitihada zetu za kuwasilisha maombi yetu ya uraia pacha kwenye Bunge Maalumu la Katiba ili...

 

11 years ago

Michuzi

aluta kontinyua: Uraia pacha - hata kama anaishi Kenya au China bado ni Mtanzania mwenzako...

 Suala la  uraia pacha sio geni duniani. Uraia pacha ulianza zamani kwa baadhi ya nchi lakini kwa nchi yetu ya Tanzania ni suala jipya kabisa lakini katika historia ya dunia uraia pacha sio jambo geni.  Hivyo cha kusema labda ni kuwa Watanzania tunaoishi Tanzania
tusiwashangae Watanzania wa ughaibuni wanaolipendekeza suala hili ili kuilinda haki yao ya msingi ya kuzaliwa Tanzania na kutuomba Watanzania wote tuliunge mkono.  Sisi tunaoishi Tanzania ni Watanzania na wao ni Watanzania vile...

 

11 years ago

Michuzi

ALUTA KONYINYUA - Uraia Pacha na Uzalendo

Katika siku zilizopita suala la uraia pacha lilikuwa gumzo kwa Watanzania waishio kwenye Diaspora na wale waishio Tanzania.  Lengo kubwa la gumzo au mjadala huu lilikuwa ni kujadili kama uraia pacha unaweza kuruhusiwa kwa raia yeyote wa Tanzania au kwa mtizamo mwingine, na lengo ni kuelimisha umma kuwa mtu yeyote aliyezaliwa Tanzania na atakayepata uraia wa pili hawezi kupoteza haki yake ya kuwa Mtanzania.  Suala hili bado linajadiliwa na Watanzania lakini bado wapo Watanzania wanaopinga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani