Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Amani, umoja na demokrasia vitawale

Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 zinaanza leo. Uchaguzi huu wa kuchagua madiwani, wabunge na rais unafanyika kwa mara ya tano tangu kuanza kwa vyama vingi mwaka 1992.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YAONGOZA MKUTANO WA PAMOJA KATI YA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA (AU) NA KAMATI YA SIASA NA USALAMA YA UMOJA WA ULAYA (EU) MJINI BRUSSELS, UBELGIJI

Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania na Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU), pamoja na Balozi Walter Stevens (Kulia), Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa na Usalama ya Umoja wa Ulaya (EU) wakiwa katika mkutano huo. Kushoto ni Balozi Smail Chergui, Kamishna wa Amani na Usalama wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika. Katika Mkutano huo, pamoja na mambo mengine, vyombo hivyo viwili vilikubaliana kuendeleza ushirikiana zaidi katika kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa migogoro...

 

9 years ago

Michuzi

HUBIRINI AMANI, USALAMA, DEMOKRASIA NA MAENDELEO ENDELEVUWATU -BAN KI MOON

Na Mwandishi Maalum, New York Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, amewaasa Maspika wa Mabunge Duniani kuhakikisha kwamba wanakuwa mstari wa mbele katika utekelezaji wa Malengo na Ajenda Mpya za Maendeleo Endelevu, kwa kushirikiana na Serikali zao na Asasi za Kijamii. “ Mnakutana katika kipindi ambacho dunia inakabiliwa na changamoto nyingi ikiwamo ya wimbi kubwa la wakimbizi wanaokimbia vita na machafuko katika nchi zao, wimbi ambalo halijawahi kutokea tangu vita kuu ya...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA AMANI NA USALAMA WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA JIJNI NAIROBI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta jijini Nairobi leo kujiunga na viongozi wengine wanaounda Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa Afrika (AU) kwenye mkutano wa kuzungumzia masuala ya tioshio la ugaidi linalolikabili bara hilo na dunia kwa ujumla. Inspekta Jenerali wa Polisi Ernest Mangu na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wakielekea kwenye ukumbi wa mikutano katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta...

 

11 years ago

Mwananchi

Masheikh wasisitiza umoja, amani

Viongozi mbalimbali wa siasa na Kiislamu nchini, wamehimiza amani, umoja, mshikamano wa Watanzania ili kuliepusha taifa na balaa la kupoteza amani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Prof. Maghembe asisitiza umoja, amani Mwanga

WANANCHI wa Jimbo la Mwanga lililopo mkoani Kilimanjaro wametakiwa kujenga mshikamano, umoja na upendo miongoni mwao, kwani kwa kufanya hivyo wataweza kujiletea maendeleo. Wito huo ulitolewa na Mbunge wa jimbo...

 

9 years ago

Habarileo

Wagombea urais wanne wasisitiza amani, umoja

WAGOMBEA wanne wa urais wamesisitiza amani na umoja wa Tanzania, huku wakielezea kuwa baadhi ya viongozi wamekuwa chanzo cha kuibuka kwa viashiria vya ubaguzi wa kidini, ukanda na ukabila.

 

11 years ago

Michuzi

UMOJA WA MATAIFA WAONGEZA POSHO YA WALINZI WA AMANI

Na Mwandishi Maalum, New York Baada ya vuta ni kuvute ya muda mrefu na majadiliano makali baina ya nchi zinazotoa walinzi wa Amani ( TCC) na zile zinazochangia raslimali fedha, hatimaye siku ya alhamisi ( Julai 3, 2014) Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, lilipitisha nyongeza ya posho kwa walinzi wa amani kutoka posho ya sasa ya dola za kimarekani 1, 028 kwa mwezi hadi dola za kimarekani 1,410 kwa mwezi. Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, lilipitisha nyongeza hiyo baada ya Kamati ya Tano...

 

10 years ago

Habarileo

Bilal ahimiza amani, umoja kwa Watanzania

MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal amesema kuwa ni wajibu wa kila Mtanzania kudumisha amani na umoja wa Taifa, ikiwa ni njia pekee ya kujiletea maendeleo ya haraka badala ya kuwa mabingwa wa kukosoa kila kitu.

 

9 years ago

StarTV

Watanzania waaswa kulinda amani, umoja, haki

Watanzania wameaswa kuzilinda kwa hali na mali tunu muhimu za Taifa ambazo ni amani, umoja na haki ili kuepuka machafuko na kupita salama katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.

Mpaka sasa viashiria vya uvunjifu wa tunu hizo vinatajwa kuanza kuonekana kutokana na kuwepo kwa sera za uchochezi kwa baadhi ya vyama vya siasa vingine vikiwahimiza vijana kulinda kura siku ya uchaguzi jambo ambalo ni kinyume na maagizo ya Tume ya Uchaguzi nchini NEC.

Ni takribani wiki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani