Ameir :Rasimu ya Katiba mbegu ya kuligawa Taifa
Mwanasiasa mkongwe wa Zanzibar, Ali Ameir Mohamed amesema mfumo wa Muungano wa Serikali tatu unakwenda kinyume na kukiuka makubaliano 11 yaliyomo katika hati ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuvunja misingi yake kwa kutaka kuunda Taifa jipya ndani ya Muungano.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi25 Mar
Tusikubali kuligawa Taifa kwa misingi ya dini
Waasisi wa Taifa la Tanzania, walifanikiwa kujenga misingi imara ya kutowagawa Watanzania katika misingi ya dini, makabila na rangi.
10 years ago
Mwananchi25 Aug
Rasimu ya Katiba inataja Tunu za Taifa: Ni nani kati yetu anayezijua!
NImeamua leo nianze kwa kueleza kitu kinachoitwa tunu. Tunaambiwa na wataalamu wa Kiswahili kuwa tunu ni kitu anachopewa mtu na mwingine kuwa ni ishara ya mapenzi, hidaya, zawadi, adia, hiba, azizi.
11 years ago
GPLUZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA TAIFA YA KUSAMBAZA UELEWA WA RASIMU YA PILI YA KATIBA YA TANZANIA
 Jaji Mkuu Mstaafu Mh. Thomas Mihayo akitoa ufafanuzi wa uzinduzi wa Rasimu ya pili ya Katiba…
11 years ago
MichuziMhe.Pandu Ameir Kificho ndiye Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba.
Bunge Maalumu la Katiba limemchagua Mhe. Pandu Ameir Kificho (pichani) kuwa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba. Katika uchaguzi wa nafasi hiyo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma, Mh.Kificho ameshinda kwa Kura 393 sawa na Asilimia 69.Washindani wengine, Bi.Magret na Mhe.Mahalu wamepata Kura 84 kila mmoja sawa na Asilimia 15.79%. Akitangaza matokeo hayo Katibu wa Bunge Dk Thomas Kashililah alisema Mhe. Kificho ameshinda baada ya kupata kura 393 sawa na 69.19% ya kura 558...
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa
Natambua kwamba bado tuna joto la sakata la “escrow†ambalo hata baada ya Mkuu wa Nchi Rais Jakaya Kikwete kulifafanua na hata kama hujui kusoma upepo kiasi gani utakuwa umegundua na utaungana nami kwamba bado wananchi wamegawika kabisa.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-fP425F9bo_c/VA7UyKZf6mI/AAAAAAAGiNg/oAv0wVoku_c/s72-c/Ukumbi-wa-Bunge-la-Katiba.jpg)
Bunge Maalum la Katiba laanza mijadala ya Rasimu ya Katiba rasmi leo
![](http://3.bp.blogspot.com/-fP425F9bo_c/VA7UyKZf6mI/AAAAAAAGiNg/oAv0wVoku_c/s1600/Ukumbi-wa-Bunge-la-Katiba.jpg)
BUNGE Maalum la Katiba leo tarehe 9 Septemba, 2014 limeanza kazi yake ya kusoma na kujadili taarifa za Kamati mbalimbali zikiwemo Kamati namba Kumi na Mbili, Kamati namba Mbili, Kamati namba Moja, Kamati namba Nne, Kamati namba Nane, Kamati namba Tano, Kamati namba Tisa, Kamati namba Tatu, Kamati namba Sita pamoja na Kamati namba Kumi na Moja.
Baadhi ya mambo yaliyojadiliwa katika Bunge hilo ni pamoja suala la baadhi ya viongozi kumiliki akaunti zao za fedha...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania